Uhamiaji wazidi kutafuna posho zaidi

Uhamiaji wazidi kutafuna posho zaidi

Inawezekana una ajira. Maneno hayo ukiwaambia wasaka ajira wakakujua unaweza kujeruhiwa.

...muambie huyo ajirekebishe coz' kama kwake ilikuwa ni mteremko asiwaze kuwa na kwa wengine ni kama yeye.
 
wakichunguza ukweli mnawabeza wanakula posho, muwape mda wa kukamilisha kazi nzuri tuone wenye nacho wataongezewa na wasio nacho watabakia kuwa wapambe wao wenye kuongezewa

...nitasubiri nijue hatma ya hili...
 
Yaani Watanzania nao bana akili zetu finyu, hivi unaona watu wanatakiwa 200 afu wanaita 10000+ we nae unapeleka mtumbo wako
 

...huyu jamaa ni mchambuzi mzuri sana; toka ''perekeche perekeche'' za TUME kuundwa mpaka sasa wanamalizia UCHUNGUZI, kama TUME ilikuwa inafuatilia THREADS iliyochangiwa na Ndg. ERICK YUSTO basi watakuja na MAJIBU mazuri sana na yenye KURIDHISHA Jamii nzima...
 
Last edited by a moderator:
Yaani Watanzania nao bana akili zetu finyu, hivi unaona watu wanatakiwa 200 afu wanaita 10000+ we nae unapeleka mtumbo wako

....wewe sikushangai! Watu wa mikoa ya KUSINI hapa Tanzania hujisemea hivi ''...BAAH KWA VILE WEE KUWEZA...''
 
Back
Top Bottom