mgonjwa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2013
- 514
- 223
Chanzo: Mwananchi
Wakati wahanga wa nafasi za konstebo na koplo wa uhamiaji wakisubiri hatma yao wizara husika imeiongezea siku zaidi za uchunguzi kamati hiyo baada ya kushindwa kukamilisha kazi waliyopewa kwa wakati ambao ni siku kumi !! Tume hiyo imeomba iongezewe muda zaidi ambao haujaweka wazi ni siku ngapi hiii ni ishara ya wao pia kuendelea kula posho kama wanafanya wengine kule dodoma !! Subira yavuta heri tuendelee kusubiri
source mwananchi la leo !!!
​Tanzania nchi yangu
duh we jamaa mbona umewakomalia hivyo uhamiaji,kwani kazi ni hiyo tu?
duh we jamaa mbona umewakomalia hivyo uhamiaji,kwani kazi ni hiyo tu?
Mgonjwa mwaka huu lazima ufe kwa sononeko