Richard
Platinum Member
- Oct 23, 2006
- 16,667
- 25,696
ingependeza zaid kwa wale ambao wanazo hiz passport za zamani kutodaiwa vitambulisho vya NIDA maana taarifa zao tayar zko ktk system...
Baloz zetu za nje ya nchi zingepewa mamlaka ya kidharura ili walioko nje ya nchi waprintiwe huko huko badala ya kusumbuliwa kuja tena nchini!!
Ni kweli taarifa zipo za kuhusu PPT ya sasa, lakini taarifa hizo hazijitoshelezi.
Kwa mfano alama zilizopo kwenye system ya sasa ni alama za vidole tu ambazo huchukuliwa kwenye ofisi za ubalozi nje ya nchi.
Kwenye system mpya kutakuwa na alama na taarifa zingine za ziada na "Unique" ambazo mashine mpya zitaweza kusoma.
Na alama hizi ni lazima zichukuliwe upya kulingana na matakwa ya system hiyo.
Kwa mfano alama za vidole si tu zile ambazo tunachovya kwenye wino, lakini hizi zitahitaji kuwa scanned na system na kupata mistari yote yote za kiganja na vidole.
Ni usumbufu lakini ndiyo hivyo tena imeamuliwa iwe hivyo.