Nimesoma habari ya uvumbuzi wa passport mpya, kigezo cha kuweza kupata passport hio,lazima uwe na kitambulisho cha NIDA, sasa nauliza kwa walio kuwa wanaishi nje ya Tanzania wasio kuwa na kitambulisho cha NIDA, ni mashart yepi ya kupatiwa passport?
Jengine tunaomba uhamiaji wabadilishe mfumo wa uombaji maana kila tunapo badilisha passport, ni mfumo ule ule wa kuomba passport kama upya ihali uhamiaji wa documents zote za uombaji wa passport ya mwanzo.
Haya ndio ma suali ambayo tunayo jiuliza wana diaspora.
Shukran