cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,326
Mimi nilifanya hvo kujaza kila details Hadi kulipia control number ikagoma kabisa kwenda kwa wale vishoka wa uhamiaji wenye access na system wakajaza tu na kuingia nikalipia form upya ikakubali, nikawauliza wakasema raia wengi wanaojaza wenyewe na kulipia huwa inagoma Hali inayowalazimu kujaza mara nyingi bila mafanikio mpaka wao wenye access wawalipe na kujaza na ku print. In short hii system ina wizi bila vishort wenye access na system hu print hzo formMkuu niliapply yangu mwaka jana na ya mtoto mwaka huu zote nikiwa home kupitia computer yangu. Nikalipa control number hiyo 20 na kuprint. Kwao nilienda kusubmit tu documents, Labda kama utaratibu wamebadili miezi ya hivi karibuni.