Uhamiaji kuchunguza uraia wa Zitto


Monyiaichi

Monyiaichi

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2012
Messages
1,826
Likes
113
Points
160
Age
62
Monyiaichi

Monyiaichi

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2012
1,826 113 160
zzk jamaa anaelement za kuwagawa watanzania rejea kauli zake wakati ananadi chama chake na azimio la tabora akiwa tabora.pia akiwa tanga anawashawi kuhusu mashamba ya mkonge.
Atajibeba, na hivi mama hayupo walao angemtetea.
Naakubaliana na wewe kuwa ni mchonganishi wa kufa mtu ila serikali huwa inammezea kutokana na u agent wake, la ingekuwa ni kile chama kinachotibua nyongo ya CCM kelele isingevumilika
 
C Programming

C Programming

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Messages
2,840
Likes
1,916
Points
280
Age
27
C Programming

C Programming

JF-Expert Member
Joined Nov 11, 2011
2,840 1,916 280
Ukweli kuhusu uraia wa kabwe zuberi zitto ,hili jina KABWE hasili yake ni Kongo,na pia Sauda salum huyu ni mamayake mdogo kabwe. kuthibitisha hilo ni kuwa salum ni mume wa SAUDA (marehemu) baba yake kabwe anaitwa ZUBERI ambaye kwa sasa ni marehemu,Salum si babayake (kabwe zitto zuberi) hata ukichunguza hapo kwenye majina yake hakuna jina SALUM.kwani ni kawaida ya mtoto kutumia jina la baba.
ujio wa KABWE.
uchunguzi unasema babayake KABWE (bwana zuberi) alikimbia kutoka Kongo kama mkimbizi na alikimbilia Tanzania kwa mamayake mdogo na bwana KABWE ambaye pia ni mdogowake mkewe kama mkimbizi.Bwana KABWE Aliletwa Tanzania 1980,baada ya miaka miwili zuberi alikutwa na mauti.bwana kabwe alianza darasa la kwanza Kigoma Primary School Primary Education 1984 mpaka alipofika kwa sasa kwa ufupi.bila kufahamika kuwa ni mkongo.
 
Kheri Hansen

Kheri Hansen

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2018
Messages
1,067
Likes
1,160
Points
280
Kheri Hansen

Kheri Hansen

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2018
1,067 1,160 280
Mbona hata Karume asili yake ni Msumbiji na bibi yake chotara wa kisumbiji na Oman, pia Magufuli asili yake ni Rwanda kabila ya Hutu, mama yake ni chotara wa kisukuma na bukoba, pia mimi...
 
Kitaja

Kitaja

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Messages
2,794
Likes
786
Points
280
Kitaja

Kitaja

JF-Expert Member
Joined Jun 14, 2011
2,794 786 280
Mbona hata Karume asili yake ni Msumbiji na bibi yake chotara wa kisumbiji na Oman, pia Magufuli asili yake ni Rwanda kabila ya Hutu, mama yake ni chotara wa kisukuma na bukoba, pia mimi...
Hapo kwa Karume rekebisha sio Msumbiji ni Malawi
 
GAS STATE

GAS STATE

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Messages
890
Likes
402
Points
80
GAS STATE

GAS STATE

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2017
890 402 80
kwa nini iwe wanaKigoma tuu ilhali mikoa ipo mingi ya mpakani
 

Forum statistics

Threads 1,215,423
Members 463,197
Posts 28,547,693