Monyiaichi
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 1,826
- 508
zzk jamaa anaelement za kuwagawa watanzania rejea kauli zake wakati ananadi chama chake na azimio la tabora akiwa tabora.pia akiwa tanga anawashawi kuhusu mashamba ya mkonge.
Atajibeba, na hivi mama hayupo walao angemtetea.
Naakubaliana na wewe kuwa ni mchonganishi wa kufa mtu ila serikali huwa inammezea kutokana na u agent wake, la ingekuwa ni kile chama kinachotibua nyongo ya CCM kelele isingevumilika