Elections 2015 Uhamiaji kuchunguza uraia wa Zitto

Interesting......Slaa anaibomoa CHADEMA Zitto anachunguzwa uraia....
CCM wanaendelea na kampeni....Lipumba ka quit....

Whoever is behind all this ni 'genius' wa mikakati...

Waendelee na kampeni lkn watuambia Katiba ya Wananchi itapatikana? Atapambanaje na mafisadi kwa katiba pendekezwa? Story zinatosha tunataka substance
 
Chama cha ACT kimesikitishwa na hatua ya idara ya Uhamiaji kuhoji uraia wa Zitto. Act wamesema Zitto amekuwa mbunge kwa kipindi cha miaka 10 iweje leo ndio ahojiwe uraia wake? source Majira. Mytake: siasa za kuviziana zimerejea!
 
Huenda ndo akawa mpinzani mkuu in future wameona hilo
 
Tatizo uchunguzi unafanywa kisiasa zaidi. uhamiaji ilitakiwa kupanua hii huduma hadi kwenye taasisi nyingine za serikali ili kubaini wageni waliojipenyeza serikalini.

Vyombo vingine kama TPDF na TISS vinapaswa kuendesha operation kali ya ndani ili kuwagundua raia wa kigeni kwenye taasisi hizo sio kusubiri mtu anakaribia kuacha kazi ndio anajulikana.

Wananchi pia wanapaswa kushirikishwa kwenye hii operation ya chini kwa chini hadi hapo tutakapokuwa tumewamaliza hao wahamiaji haramu waliojificha serikalini na kwenye taasisi binafsi huku wakijiita na kujulikana kama ni wazawa wa nchi yetu.
 
Wamuhoji tu,Huyo jamaa kwa jinsi ana siasa za kuvizia mapinduzi yawezekana ni mrundi au mnyarwanda.Na wakigundua wamrudishe kwao anatujazia population tu.
 
Inawezekana kweli yule jamaa sio Mtz maana mambo yake ya kiusaliti tu!
 
Wamuache kwanza Kabwe ni baba wa mdogo wake Zitto. Wakichukua vipimo vya DNA Zitto atasalimika kama Kabwe muuza vitenge ni mcongo

Kichefu chefu sasa na uhamiaji, mtu akitoka ngara murundi, akitoka kigoma Murundi, mwingine akitoka karagwe, kyerwa, musoma, mpanda, n.k ni mtanzania!

Shame on you!
 
Ninachowapendea CCM licha ya uchafu wa chama chao, hata siku moja huwa hawanaga simile na mtu msaliti...wao wakishagundua ww huna msimamo na ni msaliti huwa wanaweza kukutumia kwa faida zao then wanakutupilia mbali....kinachotokea kwa Zitto sasa kilitegemewa ingawa yy alijiona ni mshindi baada ya kununuliwa na CCM!

Akina Humphrey Polepole na Dk Slaa nao wasubiri kutokewa na mambo km haya!

Hivi Hussein Bashe na lile sakata lake la uraia liliishia wapi maana naona anagombea ubunge mwaka huu???
 
Last edited by a moderator:
Chama cha ACT kimesikitishwa na hatua ya idara ya Uhamiaji kuhoji uraia wa Zitto. Act wamesema Zitto amekuwa mbunge kwa kipindi cha miaka 10 iweje leo ndio ahojiwe uraia wake? source Majira. Mytake: siasa za kuviziana zimerejea!

Inawezekama wamegundua anatokea pale jiran kwa yule kijana aliyeingia madarakan kwa mtutu na ubabe wa hali ya juu.
 
Akizungumza kwenye moja ya mikutano ya kampeni Kigoma, mgombea urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo ambaye pia ni mwenyekiti wa chama hicho Anna Mghwira amesema, anawashangaa Uhamiaji leo kuanza kuchunguza uraia wa Zitto wakati ameshawahi kuwa mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Habari zaidi soma gazeti la Majira la leo.

Si ajabu achunguzwe. Prof.Rwakabamba amezaliwa Muleba amekulia Kamachumu, kama Jenerali Ulimeengu alokulia Kamachumu Muleba, Kagera. Prof.Rwakabamba amefundisha UDSM Leo hii ni Waziri kwenye Serikali ya Kagame, Rwanda. Zitto achunguzwe.
 
Hata wafadhili wake inawezekana siyo wa humu nchini ni vema uchunguzi ukafanyika ili kuondoa doubt tusije tukagawa nchi
 
Si ajabu achunguzwe. Prof.Rwakabamba amezaliwa Muleba amekulia Kamachumu, kama Jenerali Ulimeengu alokulia Kamachumu Muleba, Kagera. Prof.Rwakabamba amefundisha UDSM Leo hii ni Waziri kwenye Serikali ya Kagame, Rwanda. Zitto achunguzwe.

Naunga mkono hoja.
 
mtikila alisema kuwa magufuli sio raia, nakuwa mama yake alikuja na mimba kutoka burundi. Mbona hili hawaliangalii.

Ukienda chato kule wazee wanakwambia huyu jamaa sio wetu kabisa na wala sio wa kabila letu na hatumpi kura.

TAFAKARI CHUKUA HATUA
 
Back
Top Bottom