Uhalisia wa maisha unazidi kuonekana

Uhalisia wa maisha unazidi kuonekana

Kama ulikuwepo kipindi cha nyuma nafikiri unapaswa kupimwa akili ... au wewe (mtoa uzi) ni mwakilishi wa watanzania walio wengi ambao IQ zao ni chini ya 70.
Hivi biashara zilizofungwa zilikuwa za wapiga deal???
Hivi shule za private zinapokosa wanafunzi unafikiri huko wanakopelekwa hao watoto wanapata elimu bora?
Hivi wale jamaa zetu wa korosho wanaodai unafikiri watakuelewa?
Hivi wakulima wa pamba ambao bado hawajalipwa watakuelewa?
Hivi wakulima wa kahawa mkoani Kagera wanakubaliana na bandiko lako?
Tafakari kabla ya kuwasilisha hoja zako vinginevyo ...
 
Back
Top Bottom