KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,517
- 89,015
ye,yu buheri wa afyaMarahaba, hajambo?
ye,yu buheri wa afyaMarahaba, hajambo?
Kabisa mkuu, hata Mimi baada ya kuona anataka kupandisha Kodi nikakwambia siwezi kumudu hiyo, bali anipe mda nitafute kwingine, baada ya mwezi nikatoka, nipo sehem nzuri, zaidi ya huko nilikotoka harafu bei nafuu kabisa.Nilikuwa nalipa laki 8 kwa mwezi maeneo ya ununio, nikaambiwa na rafiki yangu mbona unalipa pesa nyingi sana, sikumuelewa ana maanisha nini? Ulipokaribia mwisho wa mwaka jana mwenye nyumba akanambia anataka kuongeza kodi na nimpe taharifa miezi mitatu kama nitaendelea ama sitaendelea. Nikamwambia sitaendelea nikahama. Alihangaika sana kupata mpangaji nasikia mpangaji aliyepatikana sasa analipa laki 5. Nyumba ilitaka kumdodea. Kiukweli ilikuwa ni mateso sana sana kwetu bei ya nyumba haikuwa ina fanana na hali halisi ila sikuwa na jinsi.
Dont make noise iprove your argumentsUpumbavu wa hali ya juu kusifia ujuha. Nilichokiona ni exploitation (unyonywaji wa hali ya juu) wa mtanzania mlalahoi.Mtu maskini analazimika kuuza kiwanja chake kwa bei ya kutupa, alafu hiyo hela akienda nayo dukani haifanyi kitu. Vyakula vya dukani kama sukari, mafuta na vingine; nguo, vifaa vya umeme, vifaa vya ujenzi etc. vyote bei imepaa. Alafu mtu anakuja kusifia ujinga hapa
Upumbavu wa hali ya juu kusifia ujuha. Nilichokiona ni exploitation (unyonywaji wa hali ya juu) wa mtanzania mlalahoi.Mtu maskini analazimika kuuza kiwanja chake kwa bei ya kutupa, alafu hiyo hela akienda nayo dukani haifanyi kitu. Vyakula vya dukani kama sukari, mafuta na vingine; nguo, vifaa vya umeme, vifaa vya ujenzi etc. vyote bei imepaa. Alafu mtu anakuja kusifia ujinga hapa
vinywaji gani vimeshuka??? labda ulanzi
Kwa hili hata mimi nimuunga rais Magufuli mkono. Unajua fedha nyingi zilizokuwa kwenye mzunguko kwa Tanzania zilikuwa fedha za dili. Ndio maana ukimuuliza mfanyakazi kwanini analalamika maisha yamekuwa magumu sana wakati mshahara upo pale pale anakuwa hana cha kujibu. Anachokosea Magufuli na ambacho simuungi mkono ni kutaka asikosolewe na kutumia nguvu kubwa na njia zisizokubalika kuwapatiliza wanaomkosoa. Vilevile kuna baadhi ya wateule wake kama kina Bashite sio wazuri na wanamjengea uadui usio na sababu.Mfumuko wa bei unazidi kudhibitiwa, bei za viwanja zimeshuka, mashamba ya kukodi yameshuka bei, kodi za nyumba zimeshuka, vinywaji kwa wanywaji bei zimeshuka (Ingawa inategemeana na wapi unataka kupata kinywaji) Kiukweli taratibu tunarudi kwenye hali halisi ya maisha.
Watu wa kipato cha chini walikuwa wanapelekeshwa sana, kufikiria kuwa na kibanda chako ilikuwa ni ndoto maana viwanja kwa mtu mwaminifu kabisa katika shughuri zake vilikuwa havishikiki
Ni maumivu makali sana kwa wapiga dili, mission town, matapeli, wezi wa maofisini maana walikuwa wanapeta tu. Sijasikia wabunge wanaulizia kuongezewa marupurupu kama ilivyokuwa siku za nyuma.
Tofauti ya asiye nacho na aliye nacho ilikuwa inaongezeka kwa kasi mbaya sana
Hongera sana Mheshimiwa Rais na cabinet yako
Point..wapambane na hali zao tuMkuu jaribu kuwa na akili za mbayuwayu, za kuambiwa changanya na zako..
Binafsi nilikuwa natafuta nyumba ya kununua bunju,ununio, tegeta mpaka mbezi beach dar es salaama bei ni kuanzia 300mil kwenda juu.. Bei za kupanga nyumba maeneo hayo pia ni zaidi ya 500k kwa mwezi bei hizi ni zile zile toka enzi za JK..
Kaulizie bei ya Cement halafu ufanye comparison na JK time, lakini usichanganye na ujio wa dangote anangalia mchango wa serikali kwa hizo bei.. Gharama za maisha dar na miji mingine mikubwa zimebaki palepale zaidi zaidi ni raia kushindwa kuzimudu tena wale wanaotafuta hela kihalali na hao unaowaita wapiga deal wamepunguza speed ya matumizi tu ili wasimulikwe...and that's the reality..
Sasa kama huna vigezo vya kuendelea kufanya kazi kwa nini usifukuzwe tu?Watu tunasimamishwa kazi kwenye makampuni we unasema uchumi unakaa sawa kweli? Au unaungana na mchumi mwenzio anayesema bidhaa kupanda bei ndiyo uchumi imara
Mh hii kali.....ila vyakula vyote havijashuka bei zaidi ya vitu vya anasa ndo vimedondoka bei!Hayo maoni yako na yanategemea sehemu ulipo na shughuli unayofanya, bei hiyo uangalie kote, huku kwangu sukari sh 2500-3000