Kuna mwenye nyumba kapunguza kodi ya pango mkuu.
wengi tu.. mi nilikuwa nalipa laki 3.. kwa sasa nalipa laki 2... na mwenye nyumba anapokea hata miezi mitatu.. zamani ilikuwa mwaka
Kuna mwenye nyumba kapunguza kodi ya pango mkuu.
Hongereni labda inategemea name eneo sie bado tunalipa ile ile kwa miezi 6wengi tu.. mi nilikuwa nalipa laki 3.. kwa sasa nalipa laki 2... na mwenye nyumba anapokea hata miezi mitatu.. zamani ilikuwa mwaka
Yeah,, wapo mkuu.Kuna mwenye nyumba kapunguza kodi ya pango mkuu.
Mkuu, kutokana na ugumu wa maisha, watu wanashindwa kulipa Kodi, hivyo inawalazim wenye nyumba kupunguzia Kodi, ili kuepukana na kuyageuza mabanda ya kuku.How!???
Sisi Tulio Huku Huo Mshahala Unatutosha Sana Mkuu Shida Ni Malengo TuKodi za nyumba zimeshuka wapi!??
Yani akili yako wewe kama uncle tu...
Kwamba sasahivi mshahara unatoka kila tar 21 hivyo basi hali ya watumishi iko bora kuliko hapo nyuma..!!!??
Sijui ni tusi gani zuri la kuweka hapa.....
Mishahara ni ileile aliyotuacha nayo JK....hivyo basi kama sasahivi haitoshi ..tulikuwa wapiga dili....
MUNGU KIMBIZA SIKU HARAKA.
Mkuu viwanja vimeshuka wapi huko!??
Now!! Wapangaji tuna ahuweni, walizidi mno.
Kiukweli kwenye suala la chakula bado bei zipo juu, inategemeana na uzalishaji wa chakula lakini tunategemea ndio kitu kitakachofuhata baadaye pamoja na gharama za usafiri,lakini katika upangaji, viwanja, mashamba hali ndio hiyo kasi ya kuelekea kwenye uhalisia wa kweli wa maisha ya mtanzania inafikiwa. Kuna rafiki yangu alinunua kiwanja tegeta masaiti kwa gharama kubwa akidhani anacheza kamari kutegemea kuwa atakiuza kwa mamilioni mengi siku za mbele sasa imekula kwakwe maana hakiuziki na alinunua millioni 60Hayo maoni yako na yanategemea sehemu ulipo na shughuli unayofanya, bei hiyo uangalie kote, huku kwangu sukari sh 2500-3000
Jaribu kuulizia nyumba wewe mwenyewe taratibu usitumie dalali asilani, nyumba za maana sana zimeshuka bei mpaka Masaki bei ni za kawaida, mikocheni kwa wanaopenda maeneo hayo. Ukikosea kutumia dalali umeumia. Namshukuru sana waziri wa ardhi kupiga marufuku madalali maana ndio walikuwa wanachangia bei kuwa juu. Sasa hivi ukimwambia mwenye nyumba nataka kuhama atakuuliza kimetokea nini, thamani ya mpangaji imeanza kurudi kama zamaniKuna mwenye nyumba kapunguza kodi ya pango mkuu.
Fanya research kaka, ninachokieleza hapa ni cha kweliNaona umejitoa akili
Haupo tena, watu walikuwa wanafanya utani sana kwenye maishaVipi kuhusu hule msemo wa laki si pesa huko mtaani kwenu bado unausikia??
Hujambo mkwe?unataka watu wakamatwe na cybercrime wewe!
sijambo shikamoo bibiHujambo mkwe?
Wengi tu.Kuna mwenye nyumba kapunguza kodi ya pango mkuu.
Marahaba, hajambo?sijambo shikamoo bibi