Vijana wengi wanaoiunga mkono ukawa ni wavivu wa kufikir hawana hoja wanabwabwaja matusi tu ndo mana wanaburuzwa tu
Viroba vingi
Vijana wengi wanaoiunga mkono ukawa ni wavivu wa kufikir hawana hoja wanabwabwaja matusi tu ndo mana wanaburuzwa tu
Wanaacha kutangaza sera za umoja wao na ni mabadiliko gani wanayatakata wao wanashambulia tu post kwa matusi jirekebisheni machalii wa ukawaViroba vingi
TUKIWEKA USHABIKI PEMBENI;-
Jahazi la Lowassa linazama. Wengi wamemgeukia Magufuli. My simple analysis huku mitaani inaonesha Lowassa kapoteza wafuasi wengi ndani ya muda mfupi. Magufuli kishapita kweupe.
Kwa nini asiapishwe mapema?
Someni namba1234567890 ndio uhalisia Dr Magufuli ndie Rais wetu. Gunia la kinyesi haliuziki
Siku Hizi MAGAMBA = LOWASSA = CHADEMA
MAGUFULI ndiye rais
UKAWA mna kina CHEMICAL ALI kibao! Na hii ni katika kuhakikisha mnaukausha 'MGODI UNAOTEMBEA'. HERI NA FANAKA!
Wataja sana kinyesi weye, nadhani ukoo wako wa bata!
Ukiona wakongwe kama Mdee,Mnyika,Lissu, nk wamezamia ujue mtumbwi umetobolewa
Vijana wengi wanaoiunga mkono ukawa ni wavivu wa kufikir hawana hoja wanabwabwaja matusi tu ndo mana wanaburuzwa tu
Kama wewe matonya
Wanaacha kutangaza sera za umoja wao na ni mabadiliko gani wanayatakata wao wanashambulia tu post kwa matusi jirekebisheni machalii wa ukawa
Unaona sasa ndo mi nawaambia tumieni huu mda mnaotoa matusi kunadi mnachosimamia,sera zenu, mabadiliko mnayoyataka maana sera zenu hazipo wazi hazieleweki .....jiaminini
Magufuli ni kifaa gani?
Kwakuwa akili huna ndio maana huwezi kuzielewa
Akili za ngiri @ work