Umsumbalembe
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 929
- 851
Someni namba1234567890 ndio uhalisia Dr Magufuli ndie Rais wetu. Gunia la kinyesi haliuziki
Wataja sana kinyesi weye, nadhani ukoo wako wa bata!

unaota wewe gambaz
Magufuli keshashind, c umeona mahudhurio hafifu hai na machame
Someni namba1234567890 ndio uhalisia Dr Magufuli ndie Rais wetu. Gunia la kinyesi haliuziki
TUKIWEKA USHABIKI PEMBENI;-
Jahazi la Lowassa linazama. Wengi wamemgeukia Magufuli. My simple analysis huku mitaani inaonesha Lowassa kapoteza wafuasi wengi ndani ya muda mfupi. Magufuli kishapita kweupe.
Kwa nini asiapishwe mapema?
OK acheni kuendelea na Kampeni fanyeni maandalizi ya kumwapisha haraka
Huu ndio ukweli mtupu hata tafiti zimeonesha hivyo!
TUKIWEKA USHABIKI PEMBENI;-
Jahazi la Lowassa linazama. Wengi wamemgeukia Magufuli. My simple analysis huku mitaani inaonesha Lowassa kapoteza wafuasi wengi ndani ya muda mfupi. Magufuli kishapita kweupe.
Kwa nini asiapishwe mapema?
Kamwapishe!
Viroba ni hatari sana kwa afya ya akili
Sio Hapa Tanzania Kwa Uchaguzi Huu.
Lowassa Ndiye Rais Ajae
simbilisi wewe. Mtaa ipi iyo