Uhalisia: Magufuli aapishwe tu!

Uhalisia: Magufuli aapishwe tu!

Kuna watu wakisikia jina la Magufuli tu waanza kuweweseke mioyoni, Huyu ni kufuli la wapiga dili tu, mtanzania uishi kwa raha mstarehe. #MchapaKazi
 
Ndoto za mchana kweupe mbaya sana. Endeleeni kujipa moyo. Finally trh 25 October
 
Heri ya Magufuli Hilo JIZI Limeishiwa pesa za Pampers anataka kuzipatia ikulu. IKULU SI SEHEMU YA KUJINYEA AENDELEE ZAKE TUU KUKATA MAGOGO STAND.
 
Sadoseba mkuu pole Sana mkuu mwambieni January makamba awaongeze mshiko hali zenu zinazidi kuwa mbaya
 
TUKIWEKA USHABIKI PEMBENI;-
Jahazi la Lowassa linazama. Wengi wamemgeukia Magufuli. My simple analysis huku mitaani inaonesha Lowassa kapoteza wafuasi wengi ndani ya muda mfupi. Magufuli kishapita kweupe.
Kwa nini asiapishwe mapema?

Magufuli,njia nyeupe kuelekea Ikulu.
 
Mi kwa utafiti wangu
lowasa ndo anasubiri kuapishwa maana elimu ya uraia imepanda
 
n ukweli uaisopingika magufuli kapita jaman

twaweza 63%
synovate 62%
uvccm 75%
x ngo 69.3%
TIDP 40+%

sasa zote hiz wanasubur nnn kumuapisha tu huyu jamaaaa
 
Kuwa mvumilivu ndugu mwandishi, akiapishwa mapema atakua Rais njiti (hajatimiza muda wake). Mamvi hata akusanye wafuasi wake wote wakapiga kura mara mbili mbili kila mmoja bado hawatoweza kushinda nafasi ya Urais, mziki wa Magufuli unatisha sana
 
n ukweli uaisopingika magufuli kapita jaman

twaweza 63%
synovate 62%
uvccm 75%
x ngo 69.3%
TIDP 40+%

sasa zote hiz wanasubur nnn kumuapisha tu huyu jamaaaa

Bwahahahahahaha KUPATA KICHEKESHO KINGINE KAMA HIKI WE JITEKENYE TU
 
Back
Top Bottom