Uhalisia: Magufuli aapishwe tu!

Uhalisia: Magufuli aapishwe tu!

Mshipa ni tatizo

Mda huu tuliongea hapa ungekuta ushanipiga na sera mbili tatu za mabadiliko unayoyataka we umebakia mataputapu,mara ngiri,sijui mshipa....jiamini chalii
 
Me nilidhani ktk dakika za kutapatapa Aunt Ezekiel na Ray Kigosi ndiyo waliotembelewa ktk Accounts zao na Team Ushindi ya Lumumba street...
Kumbe mpo wengi, Mliotembelewa.!!!
Hahahaaa Hakuna sababu ya kuikamua Hazina yetu, Mwaka huu mtakosa Ushindi.
 
Mda huu tuliongea hapa ungekuta ushanipiga na sera mbili tatu za mabadiliko unayoyataka we umebakia mataputapu,mara ngiri,sijui mshipa....jiamini chalii

Kuna wafadhiri wanapasua free of charges
 
Magufuli ndo habari kwa sasa. Fisadi watu washastukia tulitaka kuuziwa mbuzi kwenye gunia anashindwa hats kuhubiri hayo mabadiliko anayoyasema. Nimepita jumbo la Isimani mpaka Iringa mjini ni shamrashamra za ujio Wa Magufuli wiki ijayo anasubiriwa kwa hamu Sana. Lowasa ashasahaulika kabisa huku
 
Back
Top Bottom