Mi naona kila mahali ni mitaa, kwani wapi pana maisha mazuri?. Naona hata kazi zikitangazwa hutaweza kuzifanya maana kazi hizo zinapatikana mitaani, mfano; Mtaa wa Ohio etcPole sana ndugu, maana maisha ya mitaani asikwambie mtu. Hakika nchi hii bwana basi tu.
Mkuu ushauri wako nime ukubali Teh Teh..Mi nadhani tuache kurudia rudia sentensi, ni kwamba WATANZANIA WAMEKUWA WAKIZALIANA KUPITA KAWAIDA hivyo kila aliyesomea Ualimu aanze kufundisha watoto wake ama familia yake maana MAADILI HAYAANZII SHULENI BALI NYUMBANI. Watoto tunao majumbani kwetu kwanini tusubiri kwenda kuwafundishia mashuleni?. Nakushauri anzia kufundisha ngazi ya uzao wako, familia yako, taifa lako etc na Mungu akubariki. Kwasasa Rais yupo busy kutumbua Majipu kila siku!
Nani kakuambia?Next week mkuu zitatangazwa,but cdhani kama watachukua walimu wote maana nimeskia eti kama walimu watakuwa na upungufu wataongeza kwa idafdi hiyo ya upungufu means kama arts wanahtajka ,10000 ,bs wataajiri kiasi hicho hicho wengine watatoswa sa sjui kweli or wat
acha bhange kijanaMi naona kila mahali ni mitaa, kwani wapi pana maisha mazuri?. Naona hata kazi zikitangazwa hutaweza kuzifanya maana kazi hizo zinapatikana mitaani, mfano; Mtaa wa Ohio etc
Acha siasa taka wewe kuwawash brain watu wakati maisha magumu wape hela sasaJamani naomba tumpe Rais nafasi apange safu yake na aweke taratibu nzuri za kuiongoza nchi. Nadhani hata ungelikuwa wewe ukipewa madaraka hata madogo ya ualimu wa mazingira, yapo utakayofanyia marekebisho japo awali alikuwepo mwalimu mwingine aliyekukabidhi nafasi hiyo. Vuteni subira uongozi ni kazi ngumu.