Uhakiki wa bima za magari!

Uhakiki wa bima za magari!

Kwani wameshasema wakikuta huna bima watachukua hatua gani?
 
Basi cheki na Kampuni ya bima. Walikukatia IPI?
Kwani aris wana zaidi ya kampuni moja?

Nilikata pale seacliff

Ngoja nikifika home nicheki documents

Though nilipowapigia walidai tira ndio bado na hiyo kitu itaanza tar 30....
 
Itachukua muda bima zote kuingia kwenye data base. Kama umekata bima kwenye kampuni inayoeleweka huna sababu ya kuwa na wasiwasi.
 
Hawa ZIC wababaishaji sana. Wamebaki jina tu. Wana uswahili sana kwenye malipo.

My experience with Jubilee has been wonderful. Nilipata shida ya windscreen (I had it insured). I got my payment within a very shortest time bila usumbufu!

So I recommend them. Niliwapenda kweli. Maana kwa hii bongo yetu vitu vingi ni figisu figisu!
 
Kwani aris wana zaidi ya kampuni moja?

Nilikata pale seacliff

Ngoja nikifika home nicheki documents

Though nilipowapigia walidai tira ndio bado na hiyo kitu itaanza tar 30....
Ari's in broker si Kampuni ya bima. Wao wanakupa bima kwa kampuni flani au utakayotaka.

Wanapendwa kwa sababu wanashughulikia madai ya wateja wao kwa wakati. Na Kampuni za bima wako makini sana kulipa madai ya wateja wa Aris ili wasikose biashara.
 
Kwani wameshasema wakikuta huna bima watachukua hatua gani?
Mkuu tangu zamani usipokuwa na bima ni kosa. System inayowekwa itawasaidia kukamata wanaoweka bima feki. Zamani ukiweka stocker walikuwa hawawezi ku verify on spot.

Ni afadhali ukutwe huna bima ni motoring offence, lakini ukikutwa na bima feki ni jinai ya kughushi nyaraka!
 
Katika vitu ambavyo sifanyi navyo mchezo ni bima. Nishaumizwa na ndugu yangu, nimetuma hela akate bima comprehensive akakata third party, mbaya zaidi feki! Nilikuja kugundua ajali ilipotokea, minibus na iliua mtu mmoja! Kuanzia siku hio situmi mtu naenda mwenyewe tena sasa hivi kampuni za bima wenyewe wanakufuata ofisini, bima ikikaribia kwisha unapata notification.
 
Ari's in broker si Kampuni ya bima. Wao wanakupa bima kwa kampuni flani au utakayotaka.

Wanapendwa kwa sababu wanashughulikia madai ya wateja wao kwa wakati. Na Kampuni za bima wako makini sana kulipa madai ya wateja wa Aris ili wasikose biashara.
Kuna broker wangu aliniambia hii kitu. Yaani nikikata kwake ikitokea issue watashughulikia haraka kwasababu yeye anawapelekea wateja wengi, ila mimi wanaweza kunisumbua kwasababu ni individual tu.
 
Yap, ila KWA sababu wewe mbongo kama Mimi huwa hatusomi wala kuuliza kuhusu policy zetu.

Kwa mfano unafahamu kuwa kwenye malipo ya madai unakatwa 5% ya malipo?

Kuna baadhi ya kampuni policy zao zinalipa limit ya 10 milioni ikiwa utasababisha uharibu (third party) na kama uharibifu ni zaidi ya hapo kinachobaki unalipa wewe!!

Kuna policy ukipata loss na dereva ana leseni iliyo chini ya miezi sita unapigwa 15% deduction kwenye malipo yako!
 
Ni kweli kabisa.
Kuna brokers ni tough sana. Kuna ambao mitaji yao inazidi hata baadhi ya kampuni za bima, mfano Aris. Hakuna kampuni itazungusha kulipa ikiwa madai ni genuine.

Kuna brokers ambao wana network nzuri within the insurance companies, kwa hiyo madai yako yatashughulikiwa faster.

Kuna brokers ambao walishawahi kuwa claim asseasors au underwriters kwenye kampuni za bima, hao wanajua a to z za madai. Hao watakusaidia has a kwenye technicalities.

Nk
 
Yap, ila KWA sababu wewe mbongo kama Mimi huwa hatusomi wala kuuliza kuhusu policy zetu.

Kwa mfano unafahamu kuwa kwenye malipo ya madai unakatwa 5% ya malipo?

Kuna baadhi ya kampuni policy zao zinalipa limit ya 10 milioni ikiwa utasababisha uharibu (third party) na kama uharibifu ni zaidi ya hapo kinachobaki unalipa wewe!!

Kuna policy ukipata loss na dereva ana leseni iliyo chini ya miezi sita unapigwa 15% deduction kwenye malipo yako!
Hahahaha

Wabongo tuna shida na maandishi....matatizo yakitokea si kwa kulalamika sasa wakati tulisaini wenyewe
 
Kuna mmoja alikuwa na comprehensive insurance, akaibiwa vifaa vya gari. Alienda kuclaim bima baada ya wiki moja tena baada ya kuambiwa bima hiyo ina-cover wizi pia!! Alikuwa anajua ni ajali tu!!
 
Huyo katisha ni zaidi ya uzembe
 
Aris ni broker Mkubwa sana wa Bima, hawawezi kucheza na hilo.

Umekata kwenye ofisi zao Sea cliff? Unaweza pia kuuliza kampuni yako ya Bima kama cover note number IPO kwenye system yao
Naomba unieleweshe vizuri mkuu..
 
Back
Top Bottom