Uhai wa binadamu unaanza wakati gani?

Uhai wa binadamu unaanza wakati gani?

Huuhu kwani, kuna mwingine!
Kama unazungumzia uhai wote kwa ujumla na sio kuhusu mimba na ubinadamu tu basi uhai umekuwepo siku zote, kinachotokea ni replication yake tu/ kujigawanya kama migomba, majani, uyoga n.k
 
Hata kwenye kopo la mafuta ya Kimbo ilimradi mazingira yaruhusu ukuaji.

Mazingira perfect ni yale natural ndani ya viungo vya uzazi vya mwanamke.
Kwani uhai unakaa kwenye viungo vya uzazi tu? Seli zote kwenye mwili binadamu ni zina uhai, labda kama tunaongelea uhai wa kuzalisha uhai mwingine.
 
na ndio mana ukitumia baadhi ya njia za uzazi wa mpango kama madawa,vipandikizi unakua UMEUA kwa sababu njia hizo hazizuii mbegu na yai kukutana ila zinazuia yai lililorutibishwa kuendelea kukua,mana yake ni kuharibu mimba iloyotungwa au kuzuia already FERTILIZED EGG(EMBRYO) isijipandikize IMPLANTATION. amabyo ni sawa na kuua tu.

2.ABORTION kutoa mimba iliyokwisha kutungwa nayo ni sawa na KUUA PIA.

TUTADAIWA HIZI ROHO ZA MIMBA TUNAZOZIHARIBU NI DHAMBI ZA KU UWA...wengi wetu huku WALISHAUA.
 
Kwani uhai unakaa kwenye viungo vya uzazi tu?
Uhai wa binadamu unaanzia wapi? Ndo swali la mada.

Jibu nililompa unaanzia pale yai la mwanamke na mbegu za mwanaume vinapokutana na kuruhusu urutubishwaji.

Akauliza uhai unakaa wapi? Nikamjibu popote as long as mazingira yanaruhusu. Nikimaanisha mazingira ya kuendeleza huo uhai ila sehemu perfect ni kwenye viungo vya mwanamke vya uzazi.
 
Back
Top Bottom