Uhahidi, Kila Mwanamke ananunulika, ni swala la Dau!

Uhahidi, Kila Mwanamke ananunulika, ni swala la Dau!

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
10,737
Reaction score
18,612
Angalia hiyo video hapo chini ni vijana wa ktk nchi iitwayo Czech Republic huko Bara la Ulaya, walikuwa wanafanya jaribio la kupima Uaminifu wa Mwanamke linapokuja kwenye swala la ngono na fedha, walichogundua ni kwamba kila Mwanamke ananunulika na ni swala la dau tu, ukiwa na hela kubwa unaweza kulala Mwanamke yoyote yule haijalishi kama kaolewa ama la, jionee mwenyewe!


https://www.youtube.com/watch?v=bWxT08QfRUw
 
limetumbuka kalitumbua kweli... hahahahaaa, mkuu naona umewasha moto. Ngoja waje sasa!
 
Last edited by a moderator:
Aiseeh kosa la nani sasa mnunuzi au muuzaji?
 
Biashara yoyote endelevu huwa na muuzaji na mnunuaji, kwa hiyo kama wanunuaji wapo basi wacha wanawake waendelee kuwa dukani, siku wanunuaji wakiamua kuacha kununua basi utakuwa mwisho wa biashara. nicheke mie
 
ni sheeda vnd.youtube:bWxT08QfRUw?vndapp=youtube_mobile&vndclient=mv-google&vndel=watch vnd.youtube:bWxT08QfRUw?vndapp=youtube_mobile&vndclient=mv-google&vndel=watch
 
Ukiwa na pesa waweza lala na mama na binti zake wote wakubwa na wakaona poa tu“na wanawake wooote wanatamani high life hata kama makwao hamna
 
Pesa ni kishawishi kibaya sana. Siyo tu kwa wanawake hata wanaume pia, wapo wanofanya mambo ya ajabu kwa sababu ya pesa.
 
Si wanaume si wanawake ni wachache wenye ujasiri linapokuja suala la "pakee/money/faranga/mshiko /pesa/sabuni ya roho".
 
Back
Top Bottom