Ugwadu! Kiboko ya mchawi

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
361,051
Reaction score
831,654

Unaweza kuona ni kitu cha kufikirika au cha maskhara lakini mchawi na ndimu ni vitu viwili tofauti kabisaMchawi anapenda sana damu na damu kwenye ndimu inaganda fasta...pengine hiki ndio kisa kikuu

Ukiwa na mauzauza usiku ukiwa unaota ndoto za ajabu hasa kulishwa vitu na kujitafuna mdomo lala tu na kipande cha ndimu na kulamba pia! Jamaa wakija tu kuna hiyo malighafi hawasogei au wataenda kujipanga upya.
 
Sawa sawa, lakini ni utafiti upi umeufanya mpaka kufikia kuthibitisha dai hilo? je utajuaje wachawi wamekuja ama hawakuja?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…