uguza pole @gfsonwin!

Tunashukuru kwa hii taarifa rafiki, Mungu ni mwema sana my dear, he will be very fine soon. Msalimu sana baby na shem
 
kwa upendo wa ajabu napenda sana kuwashukuru KakaKiiza pamoja na mzee wetu@mtamabuzi kwa kauja kumwona mtoto baada ya kusoma hili bandiko. kiukweli nimefarijika sana na nimeamin jf ni zaid ya unavyoweza kujua ama kuudhani. barikiweni sana na idumu jf yetu.
cacico mbona sikuon kumleta mumeo Asprin?

haya naendelea kushkilia mkono wenye dripu wajamen baadae.
 
Last edited by a moderator:
Ntakupokea soon sweetlo. cacico kapata pancha mapipa apo
 
Last edited by a moderator:

pole sana shostilo!NA MUNGU ATABARIKI MWANETU ATARUDI HOME MZIMA KABISA!
 

basi na ule wimbo wetu hatutauzindua tena kwa kweli!
NIMEIPENDA HII!jf ni zaidi ya familia!naelewa kwanini huwa nawamiss nikiwa sipo online,it is the upendo tulionao!safi Mtambuzi na KakaKiiza.Mungu awabariki sana!
shostilo wangu atakuwa amepata faraja sana!
 
Last edited by a moderator:

Pole sana my dear tuko pamoja mwenyezi Mungu amsaidie apone haraka.
 
Aisee sijui hii ilinipitaje.

Ila kwa karama alizonipa Mwenyezi Mungu, kwa mimi kuisoma hii post tayari mtoto wetu atakuwa kishapona.

Ahsante Mungu kwa upomyaji wako, na pole sana gfsonwin kwa kuuguza.

Yote kheri.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…