ZEE LA HEKIMA
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 1,417
- 1,829
Nakumatt ya Arusha ukingia utashtuka ukilinganisha na walivyoanza. Haina tena bidhaa yoyote ya maana. Wameondoa nusu ya mashelfu na kwenye hizo zilizobaki wanaweka kasabuni kamoja hapa wanaacha nafasi wanaweka ingine mbele ! Yaani mali kwenye shelfu nzima haina hata thamani ya laki. Inatia huruma. !