Ugua pole Sweetlady

hii itakuwa presha ya kuambiwa ndoa inavunjika.......ila shosti hebu pona haraka kabla ya kwenda Tanga.......kuachwa ni kawaida......
 
hii itakuwa presha ya kuambiwa ndoa inavunjika.......ila shosti hebu pona haraka kabla ya kwenda Tanga.......kuachwa ni kawaida......

Mambo mrembo Preta
 
Last edited by a moderator:
Vipi jioni utakuwa na nafasi nataka kuonana na wewe

poa....nitakuwa hapa Makumba Bay....Moshi.....napunga kihewa cha mlima wetu mtukufu.......come this way......
 
Ama kweli nimeamini kuwa Mungi unanipenda kuliko Lily Flower, ingawaje mie wala sikupendi lol... Afu mambo kama haya ndio yanasababisha ndoa yangu itetereke na ole wako nitonye anipe talaka!


BTW nashukuru sana kaka mpendwa, naomba niwahakikishie kuwa mungu ni mwema manake bado anaendelea kunipigania, leo kidogo nna nafuu japo ya kuokoteza ila naamini vile mmeniweka kwenye maombi yenu mambo yataendelea kuwa mazuri.
 
Last edited by a moderator:
oooh pole jamani
nilikuambia tuachane na mume wa mtu ni sumu hukunisikia!
njua utapona ila usirudie tena
get well soon my sweetheart!
We nae acha kuchafua cv ya mgonjwa khaa, nitonye ni mume wa mtu?

Btw nashukuru dearest , ubarikiwe.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…