Sugu ?
Ama ya vipiriodi ?
Nway Mgonjwa pole zako!
Ukitaka msaada wa damu usisite kwenda kule kunako jukwaa la kiutu uzima! Mamtu ya kule hutoa damu zao kama haina akili nzuri .
Tumwombee kwanza afu akipona ntawaambia nini kilitokea mi nikawa wa kwanza kujua kuwa sweetlady anaumwa, na siyo nitonye spea tairi wake, wala mumewe Filipo au Mr Rocky