Ugua pole Judgement

Ugua pole Judgement

Pole sana mkuu
mungu ata kuponya!

Ni kweli wadau wangu, tr 12. 10 Friday milango ya saa 9 mchana nikitokea soko la Kirumba kuelekea katikati ya Jiji, nikiwa na usafiri wa Pikipiki ambapo nilikua katika shopping ya manunuzi ya vifaa vya wedding ya binti ya Dadangu (mpwa) aliekua akiolewa J'1 tr 13 .
Tukiwa Uhuru st, maeneo ya Hotel Vizano pikipiki yetu ikagongwa. Mwenzangu admitted Bugando, mie nimeteguka mguu wa kushoto gotini. Kwa ujumla wenu ahsanteni kwa kunitakia kheri, also special thanks to thrade's creater !
 
Aisee! Sad news indeed

Pole sana Judgement! GWS!
 
Last edited by a moderator:
Judgement, pole sana. Mungu akuponye upesi urejee katika shughuli za Ujenzi Wa Taifa. Tunakuombea mkuu
 
Last edited by a moderator:
Siku nyingine useme unasikitika kutaarifu juu ya ajali. Ukiwa rais usije ukatangaza msiba huku unatabasamu kama mwafulani.
Habari wana Chit Chat, napenda kuwataarifu kwamba mwenzetu Judgement amepata ajali ya pikipiki siku ya ijumaa. Tumuombee apone haraka ili arejee kwenye mihangaiko yake ya kila siku.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom