Ugonjwa wa zinaa unatisha

Ugonjwa wa zinaa unatisha

mmh ni hatar hii jaman tuelezeni ni gonjwa gan hili ndugu ma doctors
 
SEXUAL TRANSMITTED DISEASES...!

napenda sana niongee na Dr.Mo na MziziMkavu kuhusiana na hili.. mkuu kama uko karibu.. tafadhali jongea huku..

kwa hii stage ilipofikia, je kuna uwezekano wa kutibika ama ndio viunga vya uzazi vinalika kiujumla?

attachment.php


please naomba ufafanuzi doctors..
 
Last edited by a moderator:
Waenda chumvini na walamba cone mpooooooooo!!!! sasa na midomo itaoza!!
 
Generally huo ugonjwa umekaa pabaya.......angele mbaya
 
Daah!yaani papuchi imemegwa utadhani kuna erosion,wallah sigegedi tena.

Ndio unakutana na dem bomba mnapanga kwenda kugegedana kwa mara ya kwanza , bila.kujua kwamba dem ameliwa na mchwa kwenye nyeti zake, kama unavyojua tena mambo ya gizani, ukitaka kumpapasa kwenye nyeti zake dem anakutoa mkono, unaona poa , unatumbukiza nakuanza kugegeda, mwisho wa mchezo ndio unaona hiyo hali utafanya nini?
 
Huo ni ugonjwa wa Malengelenge sehemu za siri( Herpes Simplex -2) , Unatokana na virusi vya Herpes .
 
stds-s1-photo-of-genital-warts.jpg

[h=3]Genital Warts (HPV)[/h][h=3]It's not necessary to have sexual intercourse to get a sexually-transmitted disease (STD). The human papillomavirus (HPV) that causes genital warts can be transmitted by close skin-to-skin contact. Some types of HPVs cause cervical or anal cancer, and vaccines are available to protect against the most dangerous types. Other HPV types cause genital warts, which can be raised, flat, or cauliflower-shaped. HPV infection can occur in people who have no symptoms or visible warts.
[/h]
 
Miaka ya 1990's kulikua na video ilikua ikionyeshwa mashuleni na sehemu mbali mbali. Ilikua ukishaiona video ile kamwe huwezi tena kujitoa fahamu, kwa bahati mbaya watu husahau na mambo hurudia kama zamani. Nataka kusema hivi picha za aina hii zinasaidia kukumbusha wajibu wa kila mmoja wetu lkn pasipo kufanya maamuzi magumu mabadiliko yatakua ndoto na magonjwa type hiyo yataendelea kuleta athari kwenye jamii yetu yakiwakumba wasiokuwemo na waliomo.
 
Mpango mzima ni kubaki njia kuu...hiyo papuchi imelika duu
 
Back
Top Bottom