Ugonjwa wa zinaa unatisha

Ugonjwa wa zinaa unatisha

duh kwa kweli mkuu ungeweka precaution ya wanaokuja kuangalia hizi picha maana ....
 
me title nilianza na "DISASTER....." nashangaa wameedit hvyo
 
so mnatuwekea picha za photoshop ili kututisha wazamiaji?......mi kuzamia sikomi, labda papuchi ifutike duniani....lasvyo nitazamia kwa ufundi na maarifa yangu yote! IDUMU PAPUCHI NA WOTE WANAOTUHIFADHIA!
 
I have laid down my tool from today onwards si bora yule jamaa aliye amua kukata dudu lake !!!!!
 
hapa ni kubaki njia kuu michepuko marufuku! haya yakikipata ni balaa sana, pia tuheshimu mahusiano yetu na hasa NDOA
 
Mhh picha inatsha siku nyngne utoe tahadhar kwa viewers jaman! Mi ntaota kha
 
Jamani Madr wa JF mkuje pande hizi mtudadavulie ati.........

Wapi Dr. MziziMkavu, Dr. Mummy measkron, Dr. hippocratessocrates, mimi49, King'asti na wengineo????

Inatisha lol.....

charminglady, whizzkid,

Picha hiyo ni mojawapo ya mfano wa magonjwa ya zinaa.

Hapa Magonjwa ya zinaa haimaanishi magonjwa yanayoathiri viungo vya siri/uzazi bali humaanisha magonjwa ambayo hupatikana kwa njia ya kukutana kimwili "kuzini" ingawaje neno hili si maalum sana kwani hata wale wanaokutana kimwili kwa uhalali(yaani tendo la ndoa hupata pia).

Kuna magonjwa mengi ya zinaa takribani zaidi ya ishirini(20)
na hii hujuimuisha magonjwa ya nayosababishwa na virusi, bacteria n.k

Mara kadhaa haya hupatikana kwa kujihusisha na ngono na mtu aliyeathirika na moja/mengi kati ya magonjwa hayo n.k.

Pili, Dalili chache kati ya nyingi ni kutokana na aina ya ngono/"zinaa" iliyofanyika utokwa na malengelenge, ute usio wa kawaida, muwasho sehemu za siri, homa, kuvimba mitoki, maumivu wakati wa kukojoa, kutoka vipele mdomoni, kupungua uzito, n.k.

Kutegemeana na ugonjwa, dalili huzidi kujidhihirisha kadiri muda unavyokwenda!Hatimaye kudhihirika wazi wazi kama matibabu yasipotolewa mapema.

Picha zilizo hapo juu(katika Thread) zinaonyesha mojawapo ya hatua mbali za magonjwa haya bila kupata tiba/kutopata tiba sahihi. Ingawa kuanzia miaka ya 1970, kumekuwepo na upungufu mkubwa wa magonjwa haya kutokana na unzishwaji/uendelezwaji wa dawa mbalimbali mfano Antibiotics, bado hali hii yaweza kuzidi/kujirudia kama
1. Kinga haitatumiwa.
2. Waathirika hawatatumia dawa.
3. Matumizi ya dawa 'kiholela' yatapunguzwa(kupunguza usugu wa ugonjwa kwa dawa mbalimbali)
4. Hakutakuwa na uaminifu kwa watu walio na wasio na mahusiano.
 
Last edited by a moderator:

Barikiwa sana mkuu....
 
Terrible!baki njia kuu,michepuko siyo deal
 
Back
Top Bottom