Ugonjwa wa makalio makubwa

Ugonjwa wa makalio makubwa

Wewe nenda ukomenti kwa wenye matumbo makubwa.
Ahaahaaaa....! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. I see we jamaa majibu yako karibu mara nyingi nacheka saaana. Unanifanya siku yangu ipite poa. (Kwa sisi wa kuja humu kuna mambo tunakuwa hatuyajui vizuri. Kwa nini ile neno ”like” kwangu halipo kwa sasa?) Nipe jibu ewe ”Viatu vya Samaki” na wengine wanaojua
 
Utapata taabu sana![emoji41][emoji41][emoji41]
20181212_143049.gif
 
[emoji3][emoji3][emoji3] Neno "like" linalipiwa. Jaribu kuongea na mod wakupe.

Umeupdate app yako au unatumia ya 1990?
Ahaahaaaa....! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. I see we jamaa majibu yako karibu mara nyingi nacheka saaana. Unanifanya siku yangu ipite poa. (Kwa sisi wa kuja humu kuna mambo tunakuwa hatuyajui vizuri. Kwa nini ile neno ”like” kwangu halipo kwa sasa?) Nipe jibu ewe ”Viatu vya Samaki” na wengine wanaojua
 
[emoji3][emoji3][emoji3] Neno "like" linalipiwa. Jaribu kuongea na mod wakupe.

Umeupdate app yako au unatumia ya 1990?
Duuh...! Mara nyingi tu na-update app. Na sidhani kama ya 1990 kssb simu yenyewe ni mpya. Natumia C9 PRO. Na ilikuwepo kawaida,lakini from no where kakatawanyika hako ka-like. Kulipia haijarilishi ili mradi iwe sawa na wengine humu. Mod unaongea nao vipi mkuu? (Sorry)
 
Watumie PM watakusaidia.

Mimi natumia app ya talptalk ambayo JF ipo humu pia, haina shida kabisa.
Duuh...! Mara nyingi tu na-update app. Na sidhani kama ya 1990 kssb simu yenyewe ni mpya. Natumia C9 PRO. Na ilikuwepo kawaida,lakini from no where kakatawanyika hako ka-like. Kulipia haijarilishi ili mradi iwe sawa na wengine humu. Mod unaongea nao vipi mkuu? (Sorry)
 
Wadau nina katabia ka kupenda kina dada wenye makalio makubwa na laini, kila nikijaribu kuacha haipiti mwezi nafeli, na mazingira ya kazi haşa nadeal na jinsia Ke kwa sana. Nifanye nini kuachana na haya matamanio
mkuu wapi unafanyia kazi,ili nije kukuunga mkono kwa juhudi zako?? maana hata mimi hapo dah....
 
Back
Top Bottom