Ugonjwa wa kifafa: Chanzo, Dalili, Huduma kwa Mgonjwa na Ushauri wa Matibabu

Hili tatizo linajulikana kama ubongo kusinyaa na kuganda.
Mtu mwenye tatizo hili hupatwa na dalili zifuatazo:

1. Anafanya mambo kama mtoto wa umri kati ya miezi ya mwanzo hadi mwaka (yaani haeleweki)
2, Wengine hupatwa na kifafa au degedege
3. Kupoteza fahamu
4. Kupoteza kumbukumbu
5. Fahamu zinakuwepo na kutoweka (ndani ya dakika 20 anaweza kuwa sawa na hapo hapo kumbukumbu hutoweka)
6. Wengine hufikia hatua ya kushindwa kutafuna chakula na kushindwa kumeza
7. Wengine hushindwa kuongea.

SABABISHO:

Wataalamu wa mishipa ya fahamu wanasema kuwa kuna mambo machache yanayoweza sababisha tatizo hili ikiambatana na lishe hafifu (wavivu wa kula):

1. Uvutaji wa sigara.
2. Unene au uzito wa kupitiliza
3. Presha ya juu
4. Tatizo la sukari kwenye damu

ANGALIZO:

Si kwamba mtu mwenye matatizo haya lazima apatwe na tatizo la ubongo kusinyaa.

NINI HUTOKEA KWA MGONJWA WA AINA HII?

Ubongo ukisinyaa hufanya mishipa ya fahamu kutofanya kazi vizuri na ndipo husababisha mtu kupoteza network. Kule kwenye ubongo damu, umeme, oxygen na protein vinakuwa havipiti vizuri, ndipo humfanya mtu kupooza maeneo ya viungo vya mwili, kupatwa na kifafa/degedege, mishipa kutotulia na kumfanya mgonjwa muda wote kuwa akichezesha aidha mikono au miguu kama vile anastuliwa na umeme.

NB: Ukiona ndugu au jamaa yako anabadilika tabia na kuanza kufanya hayo niliyoyaeleza tafadhali usipuuze na ukafikiri anajifanyisha. Wahi kumpeleka hospitali.

INASEMEKANA kuwa, tatizo hili huwapata zaidi wazee, lakini kwa sasa hata vijana huwapata.

TIBA:

Tiba hufanyika kwa kutibu tatizo kuu liopelekea mtu kupata ugonjwa huo (Mfano kama ni kisukari ndio sababu yake kupata tatizo hilo, basi mgonjwa hutibiwa sukari na kisha hupona = akiambatana na mlo sahihi, maji mengi sambamba na kukaa kwenye hewa safi, hewa safi ni chakula cha ubongo na pindi ubongo ukikosa oxygen hata kwa sekunde moja mtu hupoteza fahamu au kusikia kizunguzungu)

Pia kuna kwenda hospital na kutumia taknologia na wataalamu waliosomea maswala hayo.

UMRI WA KUISHI.

Mgonjwa huishi kwa miaka ya kawaida bila kuathiri umri kama atapatiwa matibabu na kubadili mwenendo wa maisha (Mfano kama ni kijana wa miaka 30 ataishi miaka mingi tu mpaka 60's) Yaani akipata matibabu basi haitakua sababu ya yeye kupungukiwa umri wake wa kuishi.

#Mungu amsaidie mzazi wako
 
Ahsante na ubarikiwe sana ndugu yangu
 
Kama uko tayari nikuelekeze kwa mtu wa tiba mbadalla, mzee ana umri gani na roughly ana kg ngapi?
 
Pole sana kwa kuuguza ili tatizo lilitokea kwa Mzee wangu alikuwa na Sukari na presha ya juu akaanza kupoteza kumbukumbu na kuongea vitu ambavyo avieleweki.
 
Habari wakuu.

Mimi ni kijana mwenye miaka 20+, nasumbuliwa na tatizo la Kifafa.

Kwa maelezo ya wazazi wangu, ni kwamba mimi hapo mwanzo nilizaliwa salama salimin na sikuwa na tatizo lolote, ila nilipofikia umri wa mwaka mmoja na kitu hivi wazazi wanasema nilipata ugojwa fulani unaitwa Degedege, sijui kama una jina lingine la kitaalamu.

Wanasema walinitibia kwa tabu sana takribani mwezi mmoja ndio nikapata ahueni.

Wanasema ilinichukua miezi kama miwili au mitatu kurudi katika hali yangu ya awali na kuanza kufanya yale matendo ya utotoni ambayo nilikuwa nimeanza kuyafanya kama kutambaa nk.

Nilipokuwa na akili timamu katika ukubwa wangu nilikuwa sawa tu, lakini maamuzi yangu kidogo yakawa kama yanakinzana na wenzangu hasa kipindi cha utoto wangu.

Mama alijitahidi kunitetea kwa kila hali, ila alikuwa ananiambia kuwa nisiwe mtu wa hasira maana yawezekana Degedege iliniathiri kwa kiwango kikubwa.

Mabadiliko yalianza kutokea pale nilipofikia umri wa kubalehe, ndipo ghafla nikajikuta kama kitu kinatembea tumboni mara kichefuchefu hali iliyopelekea kuanza kuanguka Kifafa.

Wazazi wamejaribu kila namna kuona kama naweza kupona hili tatizo ila mambo yamekuwa magumu.

Naomba kama kuna mtu mwenye utaalamu na Kifafa anisaidie maana nimekuwa nikiteseka sana.

Asante.
 
Kuna mixed messages neurones zako zinasafirisha kwenda kwenye ubongo. Ubongo ukipata taarifa isiyoweza kutfsiri ndiyo maana unasikia kichefu chefu.

Kuna dawa unapewa za kupoza kasi ya neurones kupeleka hizi mixed messages. Muone mtaalamu wa Neurology.
 
Pole sana mkuu, kuna absence seizure, tonic clonic, clonic, tonic and myoclonic seizures, category inadepend na unavyopresent i.e ww umeanza na kitu tumboni thats aura, if u falled down followed by periodically jerking of both upper and lower limb thats is tonic clonic, nenda hospital kafanye EEG. Sema kuna maswali mengi bado kama kimekupata mara ngapi so far?? unapoteza faham?? Fahamu inarudi baada ya muda gani?? Ukipata fahamu unakuta mkojo umetoka?? Ulimi kujing’ata?? Ushauri wangu eeg, then follow up clinic itadepends uko wapi na unakutana na Dactari gani(CO,Amo, MD, specialist).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mixed messages neurones zako zinasafirisha kwenda kwenye ubongo. Ubongo ukipata taarifa isiyoweza kutfsiri ndiyo maana unasikia kichefu chefu.

Kuna dawa unapewa za kupoza kasi ya ubongo usipeleke hizi mixed messages. Muone mtaalamu wa Neurology.
hiyo dawa inapatikana wapi na inaitwaje.? na je ya kutibu kabisa tatizo hakuna.
 
Pole sana mkuu, kuna absence seizure, tonic clonic, clonic, tonic and myoclonic seizures, category inadepend na unavyopresent i.e ww umeanza na kitu tumboni thats aura, if u falled down followed by periodically jerking of both upper and lower limb thats is tonic clonic, nenda hospital kafanye EEG. Sema kuna maswali mengi bado kama kimekupata mara ngapi so far?? unapoteza faham?? Fahamu inarudi baada ya muda gani?? Ukipata fahamu unakuta mkojo umetoka?? Ulimi kujing’ata?? Ushauri wangu eeg, then follow up clinic itadepends uko wapi na unakutana na Dactari gani(CO,Amo, MD, specialist).

Sent using Jamii Forums mobile app
kweli mkuu napoteza fahamu hata nusu saa au lisaa limoja. wanaoniona wanasema macho yanapanda na nakuwa naunguruma huku nafurukuta , ila swala la mkojo inatokeaga mara moja moja hasa likinikaza sana kiasi cha kukuta kwa siku mara nne hivi .
 
Back
Top Bottom