Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,611
kwa khttps://www.jamiiforums.com/jf-doctor/208271-si-ukimwi-tu-kuna-hepatitis-b-pia.html?highlight=ifupi huku jf tuliudiscuss hapa pitia hii post uelewe vizuri mkuuMkuu MziziMkavu nashukuru sana kwa kunipatia hiyo email ili niwasiliane na huyo mwenye virutubisho. na nashukuru pia kwa maelezo ya ziada katika posts nyingine. Pia niwashukuru dada Smile na mkuu Nyalotsi kwa kunipatia maelezo na kunipa ufunuo zaidi juu ya huu ugonjwa. Kwa pamoja wote Mungu awabariki sana.