Ugonjwa wa Homa ya Ini (Hepatitis B): Dalili, ushauri wa kinga na tiba yake

Asante kwa kukumbushia. Tena kuna rafiki yangu alifariki mwaka huu kwa ugonjwa huu. Aliteseka sana na alikufa akiwa teja wa morphine. Inasikitisha kwa kweli...
 
unaweza kuchukua mda gani kugundua kuwa umeambukizwa ugonjwa huu...
 
Duh, poleni
Ila inatisha, maana wananchi hatupewi taarifa sahihi
Asante kwa kukumbushia. Tena kuna rafiki yangu alifariki mwaka huu kwa ugonjwa huu. Aliteseka sana na alikufa akiwa teja wa morphine. Inasikitisha kwa kweli...
 
Asante kwa material, na tukumbuke magonjwa karibu yote ya virusi (viruses) hayana tiba ukiwemo ukimwi. habari njema ni kuwa na afya nzuri, kula chakula (mlo kamili)- balanced diet ili kuepuka kuingia kwa magonjwa nyemelezi ambayo yakiingia mgonjwa yanamdhoofisha na kinga yake ya kupambana na virusi inashindwa kabisa. hata hizo ARVs....kwa maneno mepesi ni chakula tu kilichotengenezwa kitaalamu kuwasaidia hasa waliozidiwa na hawawezi kula chakula vizuri. Mlo kamili ni muhimu sana jamani.
 
Uzuri ni kwamba kuna vaccine inayozuia maambukizi ya Hepatits B, tofauti na UKIMWI.

Hiyo hutolewa kwa watoto wachanga waliozaliwa kizazi hiki in pentavalent vaccine. Sisi tuliozaliwa enzi hizo mpaka uwe unaenda nje. Serikali yetu ya washkaji bado haijaona umuhimu wa kutoa kwa kila mtu
 
hiyo hutolewa kwa watoto wachanga waliozaliwa kizazi hiki in pentavalent vaccine. Sisi tuliozaliwa enzi hizo mpaka uwe unaenda nje. Serikali yetu ya washkaji bado haijaona umuhimu wa kutoa kwa kila mtu
Ila ukitaka mwenyewe sidhani kama inashindikana.
Kama wengine walivyoshauri ni vizuri watu wakaelimishwa kuhusu hili pia ili wajilinde badala ya kuishia kuogopa UKIMWI tu.
 
Siku nafunga ndoa nilipoenda kupima ngoma, walinipima na huu ugonjwa pia, nashukuru Mungu sikukutwa na vyote...ila ni ugonjwa unaoua vibaya sana..ni mbaya sana.
 
Juu ya kuwa kwamba bado hazijapatikana dawa za uhakika juu ya maradhi haya, lakini wachunguzi wamegundua kuwa vipo vitu viwili ambavyo vinaweza kusaidia kwa wale waliopata maradhi haya katika early stage na pia unaweza kujikinga na maradhi hayo.

Zabibu (Grapes): Huifanyia kazi Ini pamoja na kuinua glycogenic,kwahio inaaminika ulaji wa zabibu huweza kuwa ni kinga dhidi ya maradhi hayo ( na ni vizuri zaidi kula fruits kabla ya kula chakula cha mchana isiwe kama wenzetu nchi za arabuni wao kwanza huanza chakula baadae ndipo hula matunda, kwa utaratibu wa lishe bora kwanza inatakiwa kula matunda ndipo ule chakula kizito)

Mtindi (Curd,yogurt): Kutokana na upungufu wa damu, ambayo ni moja katika sababu kubwa zinayosababisha maradhi ya hepatitis, Lectic Acid inayopatikana katika mtindi husaidia mfumo mzima wa damu ndani ya mwili. Kula mtindi uchanganye na asali iwe unakula mara kwa mara.
1090.jpg
Digestive system

The esophagus, stomach, large and small intestine, aided by the liver, gallbladder and pancreas convert the nutritive components of food into energy and break down the non-nutritive components into waste to be excreted.
Review Date: 10/16/2011.
Reviewed by: George F Longstreth, MD, Department of Gastroenterology, Kaiser Permanente Medical Care Program San Diego, California. Also reviewed by David Zieve, MD, MHA, Medical Director, A.D.A.M., Inc.


9395.jpg
Hepatitis B

The hepatitis B vaccine is recommended for healthcare workers, people who live with someone with hepatitis B, and others at higher risk. The hepatitis B virus can damage liver cells. Immunization is also recommended for all infants and unvaccinated adolescents.
Review Date: 5/13/2011.
Reviewed by: Kevin Berman, MD, PhD, Atlanta Center for Dermatologic Disease, Atlanta, GA. Review provided by VeriMed Healthcare Network. Also reviewed by David Zieve, MD, MHA, Medical Director, A.D.A.M., Inc.


1031.jpg
[h=3]Hepatitis B virus[/h]
Hepatitis B is also known as serum hepatitis and is spread through blood and sexual contact. It is seen with increased frequency among intravenous drug users who share needles and among the homosexual population. This photograph is an electronmicroscopic image of hepatitis B virus particles. (Image courtesy of the Centers for Disease Control and Prevention.)
Review Date: 12/18/2010.
Reviewed by: David C. Dugdale, III, MD, Professor of Medicine, Division of General Medicine, Department of Medicine, University of Washington School of Medicine. Also reviewed by David Zieve, MD, MHA, Medical Director, A.D.A.M., Inc


2766.jpg
[h=3]Gianotti-Crosti syndrome on the leg[/h]
Gianotti-Crosti disease is also called acrodermatitis of childhood. These red, elevated lesions do not contain pus and can occur on the limbs, buttocks, face, and neck.
Review Date: 5/13/2011.
Reviewed by: Kevin Berman, MD, PhD, Atlanta Center for Dermatologic Disease, Atlanta, GA. Review provided by VeriMed Healthcare Network. Also reviewed by David Zieve, MD, MHA, Medical Director, A.D.A.M., Inc.
 
HCV bana ukishaipata hiyo bana.............ngumu sana....hiyo ni ntolee.
 
@Mzizimkavu.
Sikujua matumizi ya yogurt na grapes kama yanasaidia.
Nitajisomea zaidi, asante kwa kuongeza ujuzi.
 
Mimi nitatibu Maradhi ya Hepatitis C Kwa kutumia Mkojo wako mwenyewe hebu soma hapa bonyeza Urine Therapy Testimonials

Mkojo wako waweza kutibu haya Maradhi

[SIZE=+2]Urine Therapy Testimonials
[/SIZE][SIZE=+1]
brain tumor, ovarian cancer, breast cancer, Parkinson's disease, Rosacea, prostate

cancer, breast lumps, malaria, dysentery, hepatitis, fibroid tumor, MS, multiple

sclerosis, cystitis, bladder infection, epilepsy, consumption, AIDS, fever, allergies,
[/SIZE]

[SIZE=-1]The color in each box indicates which book contains information to deal with a particular malady or disease, though all of them contain holistic and prophylactic information that can help you live healthy, improve your health or help you fight multiple diseases. [/SIZE]

maelezo zadi kuhusu tiba ya mkojo wako mwenyewe kuunywa bonyeza hapa Urine Therapy Testimonials
 
Ebu mnisaide juu ya hili,kuna mtu nilifanya naye mapenzi kwa kutumia mpira baadaye akaniambia ana huu ugonjwa sasa imepita miaka 2 sijaoana dalili yoyote kati ya hizo..je naweza kuwa niliambukizwa?kukanyaga kwa Dr.nikazi nyingine..msaada..
 
Herpatitis b inatibika
Na hata hivyo, dalili hujitokeza kati ya mwezi mmoja hadi miezi sita
Siono kwa nini una wasiwasi unless iwe exceptional case ambayo dalili zimechukua miaka miwili kuonekana
Na pia umesema mlitumia condom ambayo inaongeza nafasi ya wewe kuwa salama

Lakini, kitu unachoogopa kukifanya ndio kitakupa amani
Nenda hospitali ukapime
Kwani hujawahi jaribu pima VVU? Sidhani hata kama kupima Herpatitis b natisha kama kupima VVU
Ebu mnisaide juu ya hili,kuna mtu nilifanya naye mapenzi kwa kutumia mpira baadaye akaniambia ana huu ugonjwa sasa imepita miaka 2 sijaoana dalili yoyote kati ya hizo..je naweza kuwa niliambukizwa?kukanyaga kwa Dr.nikazi nyingine..msaada..
 
mzizi mkavu,asante sana kwa mabandiko yako ya 'alternative therapy', kwa kweli ni msaada mkubwa. hapo kuhusu upungufu wa damu kusababisha hepatitis, nilidhani hepatisis (a,b na c) zinasababishwa na virus? pili,hujaongelea kiasi gani cha mtindi ama zabibu, au inamaanisha ukitumia mara kwa mara ni dawa tosha?
Mtindi na zabibu Unaweza kuwa unatumia kwa siku mara 3 itakuwa ni vizuri zaidi yaani asubuhi,mchana na usiku
 
Back
Top Bottom