Ugonjwa mpya wa kutokwa vipele

Kuna unaofanana na huo wako chanzo kikiwa hizo sababu nilizotaja..
 

Basi nimeijua sababu
 
Timia B B E ni dawa ya kujipaka maramoja kwa siku, paka asubuhi baada ya kuoga na mwili kukauka, usioge tena jioni wala usipake, zingatia ni mara moja kwa siku.
Hii ndio dawa niliyotumia Mimi na familia yangu wote tukapona inaitwa BBE ni nyeupe ya majimaji ukijipaka utadhani umepaka uji wa chaki mwilini
 
Huu ugonjwa me unanipata nikikaa dar au mtwara niligundua tatizo ni maji jaribu kueka detol kwenye maji unayoogea itaweza kusaidia
 
Usijidai kwamba ndio unaelimu wakati wewe ni demu unakojoa umechuchumaa Sasa hestamine ndio kitu gani ni choroko au big g
ID yangu inaonyesha kabisa mimi ni mwanaume, kwa mujibu wa jamaa amesema kuna vyakula flani akila miwasho inapungua pia kuna vyakula flani akila miwasho inaongezeka, katika hali ya kawaida kuna vyakula vyenye histamine kwa wingi na vyenye histamine kiasi, ulipaswa kuingia mtandaoni na ku google histamine ni kitu gani.

Miwasho yeyote iwe allergy n.k inasababishwa na histamine, histamine ni chemicals ambazo immune system huwa inaachia kama kuna injury infection au allergy, kwa hio kama una histamine intolerance hata upake kitu gani sio suluhisho, tatizo ni la ndani ya mwili na sio nje.

Kumbuka jinsia sio cheo na usidharau mwanamke eti anakojoa amechuchumaa kwani mama yako huwa anakojoa amesimama? kama huna elimu hukusoma sema au uliza na si kutusi watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…