Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,331
- 33,141
Unaonge vitu vya kufikirika Sana nyie waswahili
Unaonge vitu vya kufikirika Sana nyie waswahili
Marekani haitoagi kitu bure. Nilishawahi kupata dili ya ku-supply vitu kwenye taasisi iliyokuwa inafadhiliwa na USAID nikashangaa moja ya masharti hivyo vitu viwe MADE IN USA na walivyo washenzi wakaelekeza hadi makampuni ya kununulia huko America. Yaani kwa hesabu za haraka ni kuwa hela yote waliyolipa ilikuwa imerudi kwa watu wao kijanja. Huo msaada wapeleke kwenye nchi zenye shida kama DRC.
tetea kampeni za ushoga zinazo endelezwa na Watawala wa nchi za Magharibi kuleta misaada ya pumba ili watu wawe mashoga wasipate kuzaa miaka 50 ijayo.Waswahili huwa mnadandia hoja sana
Itakuwa uliolewa na mchaga alafu ukaachwa! Unachuki sana na moshi nilini ulifanya utafiti ukagundua hilo!!!Moshi Ushoga umeshika kasi bwashee
Hata kupewa msaada tu wachakula bila kujalisha mashaka ya kilichomo ndani ni ujuha pia. Kwa nchi ambayo inarasilimali ardhi yenye rutuba, na raslimali watu wa kutosha, Cha msingi selikali iongoze jitihada kuwezesha kilimo Cha umwagiliaji Ili kilimo kiwe Cha uhakika na tutazalusha mpaka na ziada.
Kuhusu virutubisho ilitakiwa wapewe nchi kama Kongo sudani na nchi zingine walioko kwenye vita,kwasababu hawapati mda wa kuzalisha.
Kingine tuifundishe jamii yetu kufanya kazi Kwa bidii na kujituma kufa kupona kuhakikisha tunazalisha mpaka na ziada.
Kwa wajuzi wa mambo ,he mpango wa Bashe ,waziri wa kilimo na vijana waliopewa mashamba ya selikali ,dhamira,maono Yao ni yapi? Na wako hatua Gani?
Mimi hata siku moja sipendizwi na misaada. Katu! Kuanzia mimi binafsi kwenye maisha yangu, mpaka kwa nchi yangu. Wanaopenda misaada ni CCM na ubovu wao katika kuongoza ndiyo unafanya tuhitaji misaada. Hivi nchi yetu ilivyo na ardhi kubwa yenye rutuba na hali ya hewa nzuri pamoja na mito na maziwa, ni ya kutegemea misaada? Point yangu ni kuwa kama wewe ni maskini njia pekee ya kukataa misaada ni kufanya kazi kwa bidii ili ujitosheleze. Huwezi kuwa fukara halafu ukaamuru wanaokusaidia wakusaidiaje.Pendeleeni kupewa misaada itawaponza sana iko siku wanaotoa misaada nao watataka na nyinyi muwalipe fadhila sijuwi mutawalipa kitu gani? Ukizoea kusaidiwa ipo siku itabidi ulipe fadhila je utalipa kitu gani? jiulize halafu upate jibu.
Ni nani aliwaambia wamarekani kuwa watoto wetu wana upungufu wa virutubisho hivyo tuomba msaada wa mchele wenye virutubisho? Mwisho wa siku watoto waanze kunona mikundu huku tukipiga vigelegele kuwa watoto wamenona na wana afya kumbe mikundu yao inafukuta inataka chorongo. Kama unataka peleka guta pale ukachukue kilo zako 400 wapelekee nyumbani kwako!Maoni mengi ya wabongo wengi mtandaoni kuhusu msaada wa mchele wenye virutubisho kutoka Marekani ni hofu yao isiyo na mashiko "obsession" au ugomvi na ushoga.
Wengi wanaupinga msaada huo eti kwa sababu unaweza kuwa na viambata vya kuwafanya wanafunzi watakaoula kugeuka kwa mashoga! Yani katika sababu zote hii ndio imetawala na imekuwa msingi wa upingaji wao wa mchele huo!
Jamii inayoweza kuwaza mambo kwa muono huo wa ngono tu katika jambo ambalo halihusiani kabisa hasa katika ulimwengu wa leo ni jamii ambayo imeharibika sana kiakili na inahitaji kupewa msaada wa kila kitu, sio wa mchele tu bali hata wa afya ya akili.
Ni ujuha watoto wasipiwe mchele wa virutubisho kwa "obsession" na conspiracy ushoga tu. Kama hao mabeberu wanaweza kufanya hivyo katika mchele wanashindwa vipi kufanya katika mafuta ya kula, ngano, tambi, apples, vipodozi, chanjo na dawa kutoka nchi zao au makampuni yao?
Pia soma Watoto 300+ Dodoma kulishwa wali wenye virutubisho kutoka USAID
Ukiwa kama taifa huwezi kukosa kitu cha kutoa kwa taifa lingine. Uhusiano wetu na Marekani katika historia kwa muda wote umekuwa wa kulipana fadhili, kuna watu wanaouza dawa za kulevya wanatafutwa na Marekani tumewahi kusaidia kukmatwa kwao, kuna taarifa za intelejensia zenye maslahi kwao Marekani wanapata kutoka vyombo rasmi vya uchunguzi nchini mwetu, sisi ni soko au wateja wakubwa wa bidhaa za Marekani kuanzia computer, softwares, vinywaji, sanaa, silaha, nguo n.kPendeleeni kupewa misaada itawaponza sana iko siku wanaotoa misaada nao watataka na nyinyi muwalipe fadhila sijuwi mutawalipa kitu gani? Ukizoea kusaidiwa ipo siku itabidi ulipe fadhila je utalipa kitu gani? jiulize halafu upate jibu.
Ni nani aliwaambia wamarekani kuwa watoto wetu wana upungufu wa virutubisho hivyo tuomba msaada wa mchele wenye virutubisho? Mwisho wa siku watoto waanze kunona mikundu huku tukipiga vigelegele kuwa watoto wamenona na wana afya kumbe mikundu yao inafukuta inataka chorongo. Kama unataka peleka guta pale ukachukue kilo zako 400 wapelekee nyumbani kwako!
Walimchota akili?Duuhh hivi wewe Wamarekani walikupa nini? Huoni hata makosa?
Awali ya yote, tena unakuta hao wakulima wanaodaiwa kutoa hiyo misaada, aidha wamesamehewa mamilioni ya makodi ama wamelipwa ruzuku za mamilioni za kutosha.Hiyo sio zawadi, tatizo humu wengi hatujui operation za grants na loans, mkuu hiyo hela inalipwa na nchi baadae, Tunachezewa vya kutosha
Naomba kg 100Mchele nimezalisha hapa hakuna soko, kilo sh 800 je kuna haja gani kuletewa mchele na wafanya biashara wa Marekani.
Hivi vimiradi uchwara ndio JPM alikuwa anavilima nyundo