Ugomvi mwingine sio

Ugomvi mwingine sio

Mama anakaba koo, bora huyo anaeonekana mikono asaidie kuamulia
 
wangekuwa ndani baba angekuwa ana piga makelele nta muua huyu mwanamke

Hapo alivyokabwa hana hata uwezo wa kutoa sauti, zaidi zaidi atachafua hali ya hewa huko chini. Chezea wanawake wengine weye.

Tiba
 
1397279749346.jpg
huyo dada inaonekana hataki masihara,

Kama huyu?
 
Huyu jamaa si ndio aliyemuaga mke wake kuwa anasafiri na ndege ya Malaysia Airlines Flight MH370 iliyopotelea Misungwi.... Sasa ndio kafumaniwa hapo mtaa wa pili akitokea kwenye nyumba moja yenye chumba na sebule


kuuumbe ndie huyu hata kama ni mimi hatoki mtu hapo chini mpaka kieleweke
 
Back
Top Bottom