Ni kweli kwamba camera za namna hii zinaingilia privacy za watu lakini kumbuka hali ya dunia ilivyo kwa sasa. Wengi wakitaka kufanya mashambulizi, wanaenda chooni kufanya final touches na hapo ndipo wanashikwa kwa kuamini kwamba chooni ni salama hakuna anayewaona. Al-Queda/Al-Shabab wamesababisha matatizo mengi dunia hii!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.