Nakushauri ghairi huo mwaliko,utabebana na mikunguni hutaamin.Nashindwa kuelewa hii nyumba niliyofikia hawa wenyeji wangu wanapata vipi usingizi. Kunguni niliowaona baada ya kulinyanyua godoro ni wengi utadhani mchanga umemwagwa hapo kitandani!
Siwapendi kwa usumbufu wao lakini pia unaweza kuaibika mbele za watu unakuta dudu limeshiba halafu linatembea kwenye nguo zako tena shati jeupe. Naona noma hata kumwambia jamaa kwa jinsi anavyokuwa akijipaisha. Wasiwasi wangu nisije nikatoka na mbegu hapa.
Nifanyaje?
Umenifurahisha eti wapuuzi sana hao jamaa.tabu ya kunguni ukihama nae 1 tu hahahahah baada ya miez unakuwa nao maelfu, wapuuzi sana hao jamaa.
wajinga sana, yaani anaweza jibanza juu ya dari ama kwenye pindo ya neti wiki 2 ajala kitu. we unajua wameisha ukija shtuka wamejaa kijijiUmenifurahisha eti wapuuzi sana hao jamaa.
Move out,waachie ''mifugo'' yao..........Nashindwa kuelewa hii nyumba niliyofikia hawa wenyeji wangu wanapata vipi usingizi. Kunguni niliowaona baada ya kulinyanyua godoro ni wengi utadhani mchanga umemwagwa hapo kitandani!
Siwapendi kwa usumbufu wao lakini pia unaweza kuaibika mbele za watu unakuta dudu limeshiba halafu linatembea kwenye nguo zako tena shati jeupe. Naona noma hata kumwambia jamaa kwa jinsi anavyokuwa akijipaisha. Wasiwasi wangu nisije nikatoka na mbegu hapa.
Nifanyaje?
Kama ndo alibeba nguo zote nzuri itakuajeHao kunguni n lazima uwahamishie kwako. Kama unataka wasihamie kwako,choma nguo zote ulizoenda nazo na usizingize ndani
Kama ndo alibeba nguo zote nzuri itakuaje
Aende tu na nguo zake akifika mlangoni kabla ya kuingia azichome zote na yeye aingingie ndani fasta.Hiyo ndio dawa,kunguni hawaishi kwa njia nyingine tofauti na hiyo. Kwake anatakiwa kuingia mtupu.
Aende tu na nguo zake akifika mlangoni kabla ya kuingia azichome zote na yeye aingingie ndani fasta.