Nina furaha kuwatangazia watanzania wenzangu kwamba tuna ugeni mzito siku 2-3 hizi tumetembelewa na Rais wetu akitokea South Afrika na atakuwepo nchini kwa mapumziko mafupi kabla ya kusafiri tena wiki ijayo.Wenye matatizo ya kuhitaji ufumbuzi wake waandike barua na kumpa Waziri mkuu ambaye atamkabidhi atakapokuja tena kupumzika safari nyingine.