Ugandans on walk to work Strike (Tembea kwenda Kazini)

sekulu

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
988
157
Leo ni mara ya pili waganda wanafanya maandamano ya amani kupinga Uhaba wa mafuta nchini mwao na Kupanda kwa bei ya mafuta, pia wanagomea kupanda kwa Garama za maisha,

Kwa siku ya leo waganda wameamua kutembea kwa miguu wakati wa kwenda Makazini na wakati wa kurudi ikiwa ni ishara ya kupinga ongezeko la bei ya mafuta na Nauli za daladala aka TAX kama wanavoziita wao,

Maandamano hayo yameitishwa na Col. Kiza Besigye (FDC), na baadhi ya viongozi wengine.


Mpaka muda huu ninao report, kumekuwa na milio ya Mabomu ya machozi pamoja na Risasi za moto zikisikika katika eneo maarufu la Wandegeya Mjini Kampala.

Nikiriport Kutoka Wandegeya, Mimi ni

Sekulu
JF
 
Kuna habari kwamba kiongozi wa Maandamano Col Kiza Besigye anashikiliwa na polisi kwa mahojiano zaidi,
 
WALK TO WORK CAMPAIGN: Live updates


ico_plus.png
Share
ico_bookmark.png
Bookmark
ico_print.png
Print
ico_email.png
Email Email this article to a friend

Friend's Email Address Your Email Message Submit Cancel


Rating

latest007pix.jpg
Supporters of Dr. Besigye examine the rubber bullet wound in his right hand after he was shot by the Military Police in Kasangati. Photo by Isaac Kasamani
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom