Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,011
- 9,879
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Uganda, Jenerali Jeje Odongo na IGP Martins Okoth Ochola, wameshindwa kueleza mahali waliokopelekwa watu waliochukuliwa na wanajeshi kipindi cha Uchaguzi Mkuu.
Waandishi wa Habari waliuliza kwa kutaja majina ya watu kumi ambao walikamatwa na wanajeshi wakiwa nyumbani kwao au maeneo ya kazi. Waziri alisema hawana ripoti za watu kupotea.
Kipindi cha Uchaguzi Mkuu wa Uganda watu kadhaa waliopotea ambao hadi sasa hawajulikani walipo na Serikali imeshindwa kutoa jibu zuri kwa waandishi wa habari walipokutana nao Januari 27.