Uganda: Hatujui mahali walipo watu waliopotea kipindi cha uchaguzi

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,005
9,872
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Uganda, Jenerali Jeje Odongo na IGP Martins Okoth Ochola, wameshindwa kueleza mahali waliokopelekwa watu waliochukuliwa na wanajeshi kipindi cha Uchaguzi Mkuu.

Waandishi wa Habari waliuliza kwa kutaja majina ya watu kumi ambao walikamatwa na wanajeshi wakiwa nyumbani kwao au maeneo ya kazi. Waziri alisema hawana ripoti za watu kupotea.

Kipindi cha Uchaguzi Mkuu wa Uganda watu kadhaa waliopotea ambao hadi sasa hawajulikani walipo na Serikali imeshindwa kutoa jibu zuri kwa waandishi wa habari walipokutana nao Januari 27.
 
Soma hawakulipata kwa tizedi? Ilibid aakikishe waandishi wa habar wanakuwa na hofu ta kuuliza swali kama hilo, wakileta nongwa nao wapotezwe kama Azory.

Kwani shing ngap kuwapoteza
 
Siasa za kiafrika nowdays azinatofauti na makundi ya kigaidi, ili uishi kwa amani lazma ufate wanachotaka.
 
Back
Top Bottom