Ugali wa unga wa muhogo unaliwa na mboga gani?

Nisaidiwe namna nzuri kabisa ya kula ugali wa muhogo. Namaanisha vitoweleo vinavyoendana kabisa kwa chakula hiki.

Ugali Wa muhogo/udaga unanoga na nyama pori ya nyumbu,swala,twiga n.k.). Wanaiita A.K.A KIMORO! WATU WA KANDA YA ZIWA WANAJUA HILI!. Ukikosa zote, punda anafaa japo nyama yake INA mafuta na harufu, ukiila Leo unanuka hadi mwakani!
 
Kuna sehemu hiyo nyama pori ilokaushwa inaitwa 'nyamasingisi'
Ni tamuu ikiiva vizuri then uinge vizuri uweke na nazi au maziwa.
 
Ugali wa muhogo itapendeza km utakula na maharagwe,nyama au samaki. Na maziwa ya mgando. Acha kbsa ngosha.
 
Kuna sehemu hiyo nyama pori ilokaushwa inaitwa 'nyamasingisi'
Ni tamuu ikiiva vizuri then uinge vizuri uweke na nazi au maziwa.
Utakuwa unatokea viunga vya rorya huko ndio kuna hii terminology. Wakurya, wazanaki` kimoro", wajaluo wanaita " nyamasingisi", wasukuma wanaita " manda".
 
samaki wa kuchoma na mlenda,alafu usikae mezani tandika jamvi chini na maji ya kunywa kwenye kata
 
Dagaa wa kukaanga na tembele sotojo,akyanan unaweza kula kilo nzima peke yako
 
Nilikuwa ugali wa muhogo Mtwara mlenda na samaki sikushiba.Sijui nimezoea mseli na mlamu kaliyandili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom