Ugali wa jana

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
75,022
156,488
Ndugu wazalendo wenzangu, amani iwe kwetu sote na kwa familia zetu.

Mara nyingi sisi 🇹🇿 Watanzania hula ugali. Wasukuma hula ugali asubuhi, mchana, usiku na wakati mwingine usiku wa manane huamka na kuusonga Tena ule ulio mgumuuuu.

Ugali hupikwa kwa nafaka mbalimbali, mahindi, ulezi, uwele, mtama, muhogo na kule Mbeya Wanyakyusa hupika ugali wa ndizi.

Jamani mwenzenu naumia Sana nikitupa chakula, hasa nikitilia maananani Kuna mamilioni ya watu wanalala bila kula.

Naumia nikiwapa mifugo chakula kilichobaki, ndio maana chakula Cha mifugo siwezi kukila, iweje wao wale chakula changu?

Nawauliza wana JamiiForums nifanye Nini na ugali uliobaki jana usiku? Sitaki kuutupa walakuipa mifugo.

Naomba ujuzi na uzoefu wako
 
Luna mzee mmoja mnyakyusa aliniamba"Haifai hata kidogo kukpika chakula kikaisha ktk sufuria" Alimaanisha chakula kikiliwa chote basis watu hawjashiba.Chalila kilichobzku huliwa na mifugo kama kumu,bats,mbwa nk.Vilevile wadidu ndege hutegemea chakula kilichobaki kwa binadamu.Kutupa chakula sio dhambi kwani unalisha viumbe usivyoviona.Tuache dhana ta bajeti kwa wazungu.
 
Ukibaki nawezaje kuula Tena?
Haya ngoja nikufundishe hau-uli wenyewe, ila una urudia kuupika unakata vipande vidogo×2 halafu unaweka kwenye sufuria mpaka uchemke baada ya hapo unakoroga uji unachanganya unasubiri uchemke then unaweka unga unasonga tayari ugali

*Hakikisha unakata vipande vidogo sana ili yasitokee yale mabuja
 
Asante sana
 
  • Thanks
Reactions: ABJ
Ndugu wazalendo wenzangu, amani iwe kwetu sote na kwa familia zetu.

Mara nyingi sisi Watanzania hula ugali. Wasukuma hula ugali asubuhi, mchana, usiku na wakati mwingine usiku wa manane huamka na kuusonga Tena ule ulio mgumuuuu.

Ugali hupikwa kwa nafaka mbalimbali, mahindi, ulezi, uwele, mtama, muhogo na kule Mbeya Wanyakyusa hupika ugali wa ndizi.

Jamani mwenzenu naumia Sana nikitupa chakuka, hasa nikitilia maananani Kuna mamilioni ya watu wanalala bila kula.
Naumia nikiwapa mifugo chakula kilichobaki, ndio maana chakula Cha mifugo siwezi kukila, iweje wao wale chakula changu?

Nawauliza wana JamiiForums nifanye Nini na ugali uliobaki jana usiku? Sitaki kuutupa walakuipa mifugo.

Naomba ujuzi na uzoefu wako
Acha na ma ugali, yanapunguza uwezo wa kufikiri
 
Ndugu wazalendo wenzangu, amani iwe kwetu sote na kwa familia zetu.

Mara nyingi sisi Watanzania hula ugali. Wasukuma hula ugali asubuhi, mchana, usiku na wakati mwingine usiku wa manane huamka na kuusonga Tena ule ulio mgumuuuu.

Ugali hupikwa kwa nafaka mbalimbali, mahindi, ulezi, uwele, mtama, muhogo na kule Mbeya Wanyakyusa hupika ugali wa ndizi.

Jamani mwenzenu naumia Sana nikitupa chakula, hasa nikitilia maananani Kuna mamilioni ya watu wanalala bila kula.

Naumia nikiwapa mifugo chakula kilichobaki, ndio maana chakula Cha mifugo siwezi kukila, iweje wao wale chakula changu?

Nawauliza wana JamiiForums nifanye Nini na ugali uliobaki jana usiku? Sitaki kuutupa walakuipa mifugo.

Naomba ujuzi na uzoefu wako
Unauchoma kama nyama na wavu, Tena unakuwaga mzuri sana kwa dagaa

Watoto wa kishua hawawezi kunielewa kabisaaa
 
Back
Top Bottom