Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,431
Ndugu wazalendo wenzangu, amani iwe kwetu sote na kwa familia zetu.
Mara nyingi sisi 🇹🇿 Watanzania hula ugali. Wasukuma hula ugali asubuhi, mchana, usiku na wakati mwingine usiku wa manane huamka na kuusonga Tena ule ulio mgumuuuu.
Ugali hupikwa kwa nafaka mbalimbali, mahindi, ulezi, uwele, mtama, muhogo na kule Mbeya Wanyakyusa hupika ugali wa ndizi.
Jamani mwenzenu naumia Sana nikitupa chakula, hasa nikitilia maananani Kuna mamilioni ya watu wanalala bila kula.
Naumia nikiwapa mifugo chakula kilichobaki, ndio maana chakula Cha mifugo siwezi kukila, iweje wao wale chakula changu?
Nawauliza wana JamiiForums nifanye Nini na ugali uliobaki jana usiku? Sitaki kuutupa walakuipa mifugo.
Naomba ujuzi na uzoefu wako

Watanzania hula ugali. Wasukuma hula ugali asubuhi, mchana, usiku na wakati mwingine usiku wa manane huamka na kuusonga Tena ule ulio mgumuuuu.