Malick M. Malick
JF-Expert Member
- Apr 2, 2013
- 647
- 304
Maisha mafupi
Hivi Mnajua Sukari Inavyotengenezwa?
Mnajua Kuwa Mnakula Chokaa?
Maana Malory Semi Trailer Kibao Zinashusha Chokaa Kila Kukicha Ili Sukari Ipatikane! Ohoooo
Huyu rais ana akili sana unajua GMO itakuja kusumbua sana dunia yani tutakua tunategemea mbegu zao ili kulima sasa hapa food security itakua ndogo mno yani hawa jamaa wanakuja kututawala kwa style nyingine na tunapoelekea tunapoteza mbegu za asili zote na tutaanza kuwategemea wawo na wakigoma ina maana tutakua na njaa ya kutosha
"a mother stone is hollow" SONG OF LAWINO by Okot P'BitekUnapopeleka mahindi yasagwe kwa ajili ya matumizi yako ya nyumbani ukakuta mashine imeharibika mhusika anakwambia ngoja mashine itengenezwe ktk kufungua mashine unashuhudia kuna machujio ya chuma yamelika yametoboka na mengine yaliungwa siku za nyuma yamelika.
Swali particles (chembechembe ) za hivi vyuma vilivyolika na kutoboka zinaenda wapi?
mle kwenye MASHINE kuna sumaku inayonasa tu-vyuma
isitoshe hata ukila hivyo tuvyuma ndivyo unaendelea kuwa imara kama chuma.!!
Huyu rais ana akili sana unajua GMO itakuja kusumbua sana dunia yani tutakua tunategemea mbegu zao ili kulima sasa hapa food security itakua ndogo mno yani hawa jamaa wanakuja kututawala kwa style nyingine na tunapoelekea tunapoteza mbegu za asili zote na tutaanza kuwategemea wawo na wakigoma ina maana tutakua na njaa ya kutosha
Kama nchi inabidi tufungue bank ya mbegu za asili ili zisipotee halafu ubaya zaidi company inayotengeneza GMO ni moja tu kwa sasa(Bayer/Monsanto)
Rais wa russia kaona mbali sana.
Inategemea hayo machuma yako wapi. Je yako kwenye mfungo wa njia ambapo mahindi au unga unapita na yanaguswa au yako chini huko kwenye msukumo unaosababisha usagaji?Unapopeleka mahindi yasagwe kwa ajili ya matumizi yako ya nyumbani ukakuta mashine imeharibika mhusika anakwambia ngoja mashine itengenezwe ktk kufungua mashine unashuhudia kuna machujio ya chuma yamelika yametoboka na mengine yaliungwa siku za nyuma yamelika.
Swali particles (chembechembe ) za hivi vyuma vilivyolika na kutoboka zinaenda wapi?
Unapopeleka mahindi yasagwe kwa ajili ya matumizi yako ya nyumbani ukakuta mashine imeharibika mhusika anakwambia ngoja mashine itengenezwe ktk kufungua mashine unashuhudia kuna machujio ya chuma yamelika yametoboka na mengine yaliungwa siku za nyuma yamelika.
Swali particles (chembechembe ) za hivi vyuma vilivyolika na kutoboka zinaenda wapi?
Hv hakuna mamlaka inahusika na ukaguzi wa mashine za chakula!
Ahahahahaha duh??Write your reply...
kuna utafiti mmoja eti wanasema kunya kwa kujikakamua ni hatari!
naona mnataka tule mashudu
Juzi nilimsikiliza mtangazaji akiongelea madhara ya soda na jana kaongelea Juice na hakutoa mchepuko kwa matumizi hayo kama ilivyo kawaida yake huwa anatoa HITS tu.
Kwa ufupi kila kitu nowdays tunaambiwa hakifai -Akili kichwani na Mungu unayemwamini akupe ijara njema.
Kwenye maji kuna Madini Chuma mfano:Unapopeleka mahindi yasagwe kwa ajili ya matumizi yako ya nyumbani ukakuta mashine imeharibika mhusika anakwambia ngoja mashine itengenezwe ktk kufungua mashine unashuhudia kuna machujio ya chuma yamelika yametoboka na mengine yaliungwa siku za nyuma yamelika.
Swali particles (chembechembe ) za hivi vyuma vilivyolika na kutoboka zinaenda wapi?
Chakula boraVipi makande nayo si salama? Maana mnataka tule pumba sasa naona