Ugaidi una mafungamano na Waarabu lakini siyo Waislamu:

Mkuu kwa hiyo kama hamna maji huwezi kwenda haja?....
Kwa hiyo wewe ndiyo umeamua hata panapo maji uwende haja bila kuchamba?

Nnauhakika matokeo ya pichu zako ni haya:

stained-underwear-wallet.jpeg
 
Huwez tengenisha uislamu na ugaid

Ugaid ni uisilam na uisilam ni ugaid

Kutenganisha uisilam na ugaid ni sawa na kutenganisha ugali na tonge ni kitu ambacho hakiwezekan

Na waisilam wote wana chembe chembe za ugaid
Mmm! Kaka sio waislam wote wana chembe za ugaidi, hili nakupinga, ila magaidi wote ni waislam kwa trend ya sasa, hivyo wapo baadhi ya waislam hawakubaliani na ugaidi.
 
Maana nyepesi ya ugaidi ni matumizi yasiyo halali ya mabavu na vitisho hasa dhidi ya raia kwa malengo ya kisiasa. Kihistoria ugaidi umekuwepo tangu zamani lakini ukiacha wakati wa vita, ugaidi huo ili kuwa ukihusisha jamii husika na wala haukulenga jamii nyingine.
Hata hivyo katika namna ya ajabu sana, ugaidi wa kuanzia Karne ya 20 hadi sasa na ambao ndio mkubwa ukiona na madhara makubwa, umekuwa ukihusisha jamii fulani dhidi ya jamii ambayo hazihusiani. Mfano: ISIS dhidi ya nchi za Ulaya. Kuna vikundi vingi via kigaidi duniani japokuwa vyenye nguvu ni vichache karibia vyote vikiwemo kwenye nchi za kiislamu.
Kumekuwepo tuhuma za kuhusisha uislamu na ugaidi. Hata hivyo, ukifuatilia sana jamii za wanadamu dunia nzima, utagundua nchi za kiislamu ziko nyingi duniani hasa katika Bara la Asia na kwamba zipo nyingi ambazo ni ngumu kuamini kuwa ni za kiislamu - Malaysia, Indonesia na Bangladeshi. Nchi hizo zikiwemo Indonesia ni ya kwanza kwa kuwa na waislamu wengi duniani na Bangladesh ni ya tatu badala ya Pakistani. Wananchi wa nchi hizo tajwa wanaishi kwenye maeneo yenye rutuba na mvua nyingi hivyo kusema kutengeneza jamii yenye upole na Amani.
Hata hivyo nchi za kiarabu ambazo zikiwemo kwenye majangwa zimekuwa na changamoto ya ugumu wa mazingira hivyo kujikuta wanazoea mazingira ya ubabe na uchokozi. Nchi hizo ziliingia kwenye uislamu siyo kwa kutaka Bali kwa jihad, hivyo miaka leo mfumo wao wa maisha umekuwa wa kibabe kutokana na mazingira magumu. Ndiyo maana waislamu wa nchini hawana msimamo mkali kama nchi zinazozunguka Jangwa la Sahara.
Unapofikiria suala Hilo fikiria jinsi wafugaji nao huwa ni sababu dhidi ya wakulima utaelewa kwani maeneo ya waarabu kilikuwa hakiwezekani zaidi ya ufugaji.
Fikiria upya vipi kuhusu somalia
Wale si waarabu
Vipi kuhusu Tanzania hao wa kibiti tazama na sikiliza maneno yao
Je kuna waarabu hapo?
 
Ugaidi una mafangamano na dhulma uonevu mateso ya binadamu mmoja kwa mwenzake
Na binadamu wako wastahamilivu na wengine damu zao zina chemka.
Neno kisasi lipo kila kabila na kila lugha.
Ukionewa utataka kulipiza.
Huu ndo msingi wa ugaidi
Hebu jiulize wale watoto wa masheikh wa uamsho ambao baba zao wapo jela kwa uonevu jee si rahisi wale kulipa kisasi ?
Tukiishi kwa wema bila kufanya dhulma hakuna visa vya ugaidi....
 
Fikiria upya vipi kuhusu somalia
Wale si waarabu
Vipi kuhusu Tanzania hao wa kibiti tazama na sikiliza maneno yao
Je kuna waarabu hapo?
Kiukweli, wale viongozi wa ugaidi, wanajua fika kuwa hawapiganii dini ya Allah, bali maslahi Fulani, isipokuwa wale wapiganaji wao hawajui undani zaidi ya kuwa brainwashed na kumezeshwa aya mbili tatu za jihadi na kutumiwa kama killing machines, huku wakipewa ahadi lukuki ikiwemo fedha, na kuahidiwa pepo hewa, na kuahidiwa kutunziwa familia zao. Mfano ukimuuliza hata gaidi wa kibiti, lengo lako ni nini hawezi kukupa jibu lenye kuleta maana, kama unataka nchi ya kiislam , je ni wapi duniani walifanya hivyo wakaishi salama na kwa amani? Hata huko kwenye waislam watupu imeshindikana! Tatizo hapa ni kusaka mali na wizi tu, kuunda makundi haya na kuyatumia kama mitaji kwa wenye fedha na ujanja wa Akili tu.
 
Wewe hujaelewa vyema concept ya waarabu ipo katika ile ya Semitic na Hamitic. Jamii hizo zina ukaribu sana na zinapakana. Hivyo Nigeria maeneo yenye ugaidi wale ni Fulani na Hausa ambao ni Hamites kama walivyo wasomali, watuareg wa Niger, Chad, Mali na Mauritania. Hao siyo Jamii yetu ya kibantu na kinegro and they are more of Arabic than African.
Ugaidi ni uislamu na uislamu ni ugaidi. Nasubiri siku waislamu popote mkija kutoka hadharani muwapinge bokoharam, alshababu, isis, na wengIneo ndipo nitaanza kuwaelewa.
Magaidi walipoingia kenya waliamuru kila aliye muislam atoke kabla hawajafanya kitu hii ni uthibitisho kuwa uislamu ndiyo ugaidi ulioua watu pale kenya na kwingineko.
Pale nigeria watoto waliotekwa walirudishwa wakiwa kwenye nguo za kiislamu na wanajua kusoma kiarabu.
Uislamu bado kwangu ndiyo ugaidi mkirudi mkaifuata mafundisho sahihi ya mtume wenu mtakuwa huru. Hata yeye akibahatika akafufuka leo akiwakuta na matendo yenu hayo machafu atazimia afe upya.
Mtume hakufundisha kuteka wala kuua wala kubaka, wala kufila alifundisha matendo mema si kama mtuaminishao leo.
Itafuteni kweli ya mtume wenu mpate kuwa wafuasi wake wa kweli.
Ktk kurani mtume aliruhusu waislamu wafungamane na watu hata wasio waislamu ili wapate elimu bora. Anasema muende mpaka hata China.
Someni maandiko.
 
Huwez tengenisha uislamu na ugaid

Ugaid ni uisilam na uisilam ni ugaid

Kutenganisha uisilam na ugaid ni sawa na kutenganisha ugali na tonge ni kitu ambacho hakiwezekan

Na waisilam wote wana chembe chembe za ugaid
Huwezi kutenganisha dini ya' mkombozi,' wetu,aliyetukomboa katika dhambi,na ugaidi,ndio maana hata yeye alisulubiwa ili tusamehewe dhambi zetu.Ilibidi,kifanyike kitendo cha kikatili,kwa kusalitiwa na Yuda.
 
UGAIDI unafungamana na WAARABU ambao ni WAISLAM

Na wala si waarabu walio WAKRISTO.

Labda useme kuwa wanasingizia tu kuwa ugaidi unasapotiwa katika Qur'an.
Hakuna ugaidi mkubwa kama ule alioufanyiwa mkombozi wetu,ili tusamehewe dhambi zetu,kwa kusalitiwa na Yuda.Bora yeye kakubali kufanyiwa ugaidi,lakini tumesamehewa dhambi zetu.Bwana asifiwe,Ameeni.
 
Na wale Wamarekani waliowaua wahindi wekundu ( red Indians) million sabini (70,000,000) tuwaiteje wasamaria wema au magaidi wakubwa?
 
Tatizo wanachinja kwa kutumia dini. Wanatumia aya za dini hiyo. Wanaua kusema wanatetea dini hiyo. Ni aghalabu kusikia kiongozi wa dini hiyo akilaani magaidi hao.
Mkombozi wetu,alisulubiwa kwa kutumia dini,ndio tukasamehewa dhambi zetu.Na aliyemsaliti ni Yuda,katika wanafunzi wengi,huyu sio Gaidi na kitendo alichofanya cha kumsaliti sio cha kigaidi,kwa vile,kafanya tusamehewe dhambi,twakiita kitendo cha kisaliti tu.
 
Ile ilikuwa ni vita tofauti na ugaidi. Ni sawa na kuuliza tz ilivyoishambulia Uganda 1978/1979 nako ni ugaidi au la.
1.Hata Askofu kibwetere alipowachoma maelfu kanisani,na kuuwa wengine,kile sio kitendo cha kigaidi,kwa vile amesafishwa na damu ya Bwana.
2.Hata wauaji wa Rwanda,kanisani,maelfu waliuliwa,kile sio kitendo cha kigaidi kwa vile,kilifanywa ndani ya nyumba ya Bwana.Bwana asifiwe.Ameen.
3.Mauaji ya Ireland ya Kaskazini,baina ya wakatoliki na waprotestant,wale ni wezentu katika damu ya Bwana,kwa hiyo sio ugaidi ule.
4.Mauwaji ya Sudani ya Kusini,wale sio magaidi,ni wenzetu katika ukombozi wa damu ya Bwana.
5.Mauaji ya halaiiki,Rwanda,sio ugaidi,wale ni wenzetu katika Bwana.
6.Mauaji ya Hitler,kwa kuwachoma maelfu ya wayahudi,sio ugaidi,ni mwenzetu,katika damu ya Bwana.
 
Uislamu ni tishio kwa amani ya dunia
Tishio sana,ndio maana wanauwana Sudani ya kusini,na wale waislamu wa dhehebu LA katoliki na waprotestant,kule Ireland ya Kaskazini,wameuwana sana,lakini waislamu wale,ni wa damu ya Bwana,sio magaidi.
Na waislamu wa Sudani Kusini,wanauwana,lakini sio magaidi wale.
Na waislamu wa Kongo,Burundi,wale wameuwana sana ila kwa vile wana mkombozi wa damu ya Bwana,sio magaidi wale.
Askofu Kibwetere,yule ni muislamu safi,kauwa sana,lakini sio gaidi,ana upako wa Bwana.
Waprotestant na wakatoliki wa Ireland ya Kaskazini,wale wana damu ya Bwana,wameuwana sana,lakini ni waislamu,sio magaidi wale.
 
Hakuna ugaidi mkubwa kama ule alioufanyiwa mkombozi wetu,ili tusamehewe dhambi zetu,kwa kusalitiwa na Yuda.Bora yeye kakubali kufanyiwa ugaidi,lakini tumesamehewa dhambi zetu.Bwana asifiwe,Ameeni.
Hahaha...Kikwajuni One

Kwenye UKRISTO hakuna UGAIDI na tunasisitizwa kuwapenda binadamu wenzetu bila kujali dini zao

UISLAM ndio unaosisitiza kuwachukia wale wote wasio waislam na hata kuwaua.

Hivyo wewe kuandika huu uongo kuhusu UKRISTO hauleti mantiki kwa mtu yeyote na ndio maana hakuna kikundi cha kigaidi chenye mrengo wa kikristo kama hizi za kiislam:

1) BOKO HARAM

2) ISIS

3) AL QAEDA

4) AL SHABAAB

Takbiiiir............Allah Akbar
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom