Ugaidi una mafungamano na Waarabu lakini siyo Waislamu:

Maana nyepesi ya ugaidi ni matumizi yasiyo halali ya mabavu na vitisho hasa dhidi ya raia kwa malengo ya kisiasa. Kihistoria ugaidi umekuwepo tangu zamani lakini ukiacha wakati wa vita, ugaidi huo ili kuwa ukihusisha jamii husika na wala haukulenga jamii nyingine.
Hata hivyo katika namna ya ajabu sana, ugaidi wa kuanzia Karne ya 20 hadi sasa na ambao ndio mkubwa ukiona na madhara makubwa, umekuwa ukihusisha jamii fulani dhidi ya jamii ambayo hazihusiani. Mfano: ISIS dhidi ya nchi za Ulaya. Kuna vikundi vingi via kigaidi duniani japokuwa vyenye nguvu ni vichache karibia vyote vikiwemo kwenye nchi za kiislamu.
Kumekuwepo tuhuma za kuhusisha uislamu na ugaidi. Hata hivyo, ukifuatilia sana jamii za wanadamu dunia nzima, utagundua nchi za kiislamu ziko nyingi duniani hasa katika Bara la Asia na kwamba zipo nyingi ambazo ni ngumu kuamini kuwa ni za kiislamu - Malaysia, Indonesia na Bangladeshi. Nchi hizo zikiwemo Indonesia ni ya kwanza kwa kuwa na waislamu wengi duniani na Bangladesh ni ya tatu baada ya Pakistani. Wananchi wa nchi hizo tajwa wanaishi kwenye maeneo yenye rutuba na mvua nyingi hivyo kupelekea kutengeneza jamii yenye upole na Amani.
Hata hivyo nchi za kiarabu ambazo zikiwemo kwenye majangwa zimekuwa na changamoto ya ugumu wa mazingira hivyo kujikuta wanazoea mazingira ya ubabe na uchokozi. Nchi hizo ziliingia kwenye uislamu siyo kwa kutaka Bali kwa jihad, hivyo miaka leo mfumo wao wa maisha umekuwa wa kibabe kutokana na mazingira magumu. Ndiyo maana waislamu wa nchini hawana msimamo mkali kama nchi zinazozunguka Jangwa la Sahara.
Unapofikiria suala Hilo fikiria jinsi wafugaji nao huwa ni wababe dhidi ya wakulima utaelewa kwani maeneo ya waarabu kilimo hakiwezekani zaidi ya ufugaji.
Uislamu bila Uarabu ni sawa na Uislamu bila nguzo ya kuhiji Mecca, Quran ya Kiarabu na kuswali bila kuelekea Kibra.

Huo utakuwa Uislamu wa Agano Jipya la Quran ambalo halijachapishwa mpaka sasa.

Kwa sasa mtu yeyote mwenye akili na asiye na mahaba ya kumpofusha macho ya ubongo wake ataona kwamba ugaidi umeandikwa kwenye Quran na hautenganiki na Uislamu kama ulivyo sasa.
 
Wakati mnataka kujilipua huwa mnafoka 'allah akbar', hiyo lugha ya wapi maana ndio mnatumia kusali, hivyo uislamu na kiarabu vimeunganishwa.
 
Hakuna kazi ngumu duniani kama kutofautisha ugaidi na uislam
Ndiyo maana andirons language nimeeleza kuwa, ugaidi ni tatizo la waarabu. Sasa najua unaelewa kuwa dini ni mojawapo ya vipengele ndani ya utamaduni. Kwa hiyo utakuta kuwa kwa kuwa dini ya kiislamu ilitokea uarabuni, na yenyewe imechukua utamaduni wa kiarabu. Kwa hiyo siyo tatizo kwa Waarabu isipokuwa kwa Jamie ambapo siyo za kiarabu maana wana lazima kwa kuziishi SHARIA za kiislamu zenye mahudhui ya kiarabu, mfano uislamu unam-reward mtu anayeua kwa kutetea dini yake. Ni kwenye kipengele hiki hasa ndicho kitakachowafanya waarabu na hence waislamu wasipendani na wakristo kwani wakristo wanaongozwa na utakatifu uliotengenezwa na upendo yawning kumpenda mwenzako kama nafsi yako na pia kutokuwa na kipindi cha kumsamehe aliyekukosea. Je kwa waarabu inawezekana? Eti mtu akiikashifu Quran anasomewa albadili so nonsense. Hilo kwa wakristo halipo watu wanamtukana na kumkejeli Yesu, je Biblia si ni kawaida?
 
Hakuna eneo huku sana ambapo linafanya waarabu na hence waislamu kujitenga na wana dunia wengine kama la ndoa. Dini ya kikristo imezuia kufunga ndoa nje ya mkristo lakini wakristo wamekuwa wakifunga ndoa nyingi za Kimble na mtu yoyote waliyemtaka. Hata hivyo kwa waarabu, hilo suala haliwezekani, miaka wote wewe waislamu.
Angalieni hapo nchini wasomi wa kiislamu hasa wa kike wanavyopata shida kuolewa kwani wamezungukwa na wasomi wenzao ambapo wengi ni wakristo. Ndio maana fuatilieni vyema, wasomi wengi wa kiislamu wanatamani kuajiriwa Mikoa ya Morogoro, Tanga na Dar es Salaam ambayo ndiyo yenye wasomi wengi wa kiislamu. Huwezi kumsikia anatamani kwenda Mbeya, Kilimanjaro, Arusha, Mwanza wala Iringa. Lakini hilo halijawahi kuwasumbua wakristo maana wao wanaogopa sana kupelekwa Mikoa ya Mtwara, Lindi, Pwani na Tanga. Ndiyo maana kuna mwingiliano mkubwa wa jamii za kikristo huku za kiislamu zikizidi kujitenga na kusababisha kuwepo kwa maeneo yenye uswahiswahili sana hapa nchini.
 
Hqo wanaoshambulia nchi za kiarabu zenye waislam wengi kwa mabomu na kuua waislam wanajidanganya sana kwa kudhani wanaudhoofisha uislam sababu wanaua waislam na kamwe hawaugusi uislam hata chembe sababu uislam uko kwenye mioyo ya watu sana sana mwisho wa siku watauana wao kwa wao na hayo manuclear mfano ni jinsi wanavyoendelea kutishiana RUSSIA VS NATO vile vile ata wale wanaochoma moto vitabu vya quraan kudhani wanaudhalilisha uislam ni kama wanajisumbua sababu quraan watu wamehifadhi msahafu mzima kwa kichwa na uislam unazidi kukua na kupata nguvu The point is ata kama wakiwaita waislam magaidi haiathiri chochote its up to them cha muhimu ni dini ya mwenyezi mungu haitashindwa sababu aliapa kuilinda bottom line
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom