Anaandika Joseph Kalala, Urbana University.
Kama haujapata kuuelewa ufunuo basi huu ndio ufunuo wa kweli kuhusu mambo haya yanayoendelea Tanzania;
1. Mabalozi kadhaa kutweet na kuretweet tukio la hivi karibuni la tuzo za haki za binadamu ni ufunuo kuwa mabeberu wanateseka wa maendeleo tunayoyapata tujipange;
2. Lakini pia kitendo cha mtu aliyefanya press conference moja au mbili (kati ya wengi) akidai haki ya mwanafunzi ambaye hakuna anayebisha kuwa aliuawa kikatili na bila sababu then kwa hatua hizo tu akakatangazwa kupewa tuzo ya Haki za Binadamu ni ufunuo mwingine kuwa ama waandaaji wameishiwa watu wanaopaswa kupata tuzo au majina ya wapewa tuzo yaliandaliwa ubalozini na wafadhili wa tuzo kwa malengo tata.
Shalom.
Mtumishi wa Mungu