Ufunuo: Hatari kubwa CHADEMA

Ufunuo: Hatari kubwa CHADEMA

Hapo mwisho umesema upo tayari kuwasaidia ktk timu ya maombi kivipi yani bure au? Na unadhani CDM wakifanya hivyo wa Islam wataichukuliaje?[naamini kabisa wewe ni mlokole] sasa kama ni maono umeoneshwa huwa hayazuiliki ni lazma yatokee kama ilivyopangwa amigo

CHADEMA ina watu wote, Mungu ni wa watu wote wakristu na waislamu. Na waislamu walete mafunuo yao, tumepata ufunuo wa pastor bado wa Sheikh
 
maombi na viroba vya cdm wapi na wapi?

sisi ccm tunasimama tukiwambali na kumwambia Yesu ee Bwana turuhemu sisi ni wenye dhambi Bwana
 
MODS: Wakuu, kama mlivyoona kwenye press
release ya zitto, huyu bwana mutahaba
(inteligence officer) katajwa nasikia kuna
malumbano kati yake na Zitto, na zitto
amejaribu kump-reempt. Confirm with Zitto hii
kitu. It is 100% genuine....Naomba Msitoe.
Nimeiweka jinsi nilivyoipokea....Zitto anaweza
kuthibitsha
By :
From: t. Mutahaba To johnmnyika@
gmail.comcordesand@ gmai...abwe@gmail.com
and 2 More...
Today at 12:56 AM
Ndg. Zitto
Nasikitishwa sana na hizi tabia zako za ajabu
ajabu. Mimi nafanya kazi katika moja ya taasisi za
ki usalama na nimeshirkia mara kadhaa kukupa
fedha. Nyendo zako hata na sisi tunazijua na
nimeshangazwa na utoto wako wa kuandika
waraka ambao umetoa vitisho ambayo inadaiwa
kutoka kwa Andrea Codes. Ndugu napenda
kukuonya kwamba umefanya mengi ambayo hata
wana Chadema hawajui.
· Swala la Bomu Arusha ulishiriki na lengo ilikuwa
ni kumuua mwenyekiti wa Chadema pamoja na
Ndg. Lema. Hii kitu ulipanga, wewe, mwigulu na
vyombo vya usalama
·Zitto, rais Kikwete alipoenda Sudan ya Kusini
uliambatana naye. Unakumbuka sababu ya wewe
kuitwa? Nikukumbushie kwamba ilikuwa zawadi
kwako ya kuihujumu chadema. CCM
hawakupendi, bali wanapenda hujuma zako ndio
maana walikudanganya kwamba watakusaidia
kupata uenyekiti CDM ikiwepo kumuua Mbowe na
kumdhoofisha Dr. Slaa
· Ndg. Zitto unadanganya umma kwamba
unafuatilia fedha Uswisi wakati hii ni njama
ambayo imesukwa na TISS kisha ukakabidhiwa ili
CHADEMA isiibane sana serikali.
· Tueleze ni majina gani uliyoyapata. Na kama
umeyapata, tunaomba kujua jina lako ni namba
ngapi, kwa sababu na wewe una fedha nje ya nchi
na ushahuidi tunao
· Umekuwa ukijenga mtandao wa kuwania
uenyekiti na fedha ulizopewa na TISS pamoja na
CCM ili kumn’goa Bw. Mbowe kwenye uenyekiti
wa CHADEMA ili 2015 CCM ishinde.
· Zitto, una ghorofa Dodoma karibu na St. Gasper
Hotel. Fedha za kujenga lile jengo zimetoka wapi?
· Zitto, Barrick gold walikujenga shule pale
jimboni kwako. Baada ya lile shule kujengwa na
pia kupewa kitita cha fedha ulinyamaza kabisa
· Ndg. Zitto, wakuu wengi wa mashirika ya umma
wameleta malalamiko TISS kuhusu unavyochukua
fedha kwao. Hilo unalijua kama ni ufisadi?
Ndg. Zitto, wewe ni kijana mdogo. Hizi tamaa zako
za kifisadi zitaipeleka nchi pabaya. Tunakuangalia
na kelele zako hasa fedha za uswisi. Usichezee na
akili za watanzania. Wewe ni fisadi namba moja.
Umeficha fedha nje, ama nikukumbushe kwamba,
majuzi ulipokuwa nje ya nchi ulitoa fedha kwenye
benki Fulani. Ile account umefunguliwa na nani?
Badilika kijana. Kisiasa umeshajimaliza. Pengine
nikukumbushie kwamba mawasiliano yako na
Jack Nzoka, Mwigulu, Ridhiwani za kisaliti ndio
chanzo cha kuanguka kwako. Ila hacha
kuwadanganya watanzania na kiini macho cha
Uswisi. Umeshajua mengi sana , usishangae
kijana ukija kutoweka ghafla. TISS hawachezi na
mtu. Na ni wao au CCM ndio watakao kumaliza
sio CHADEMA. Ule waraka unaosambaa ni mali ya
TISS na imeratibiwa na CCM ambao ndio ndugu
zako wakubwa
Andrea, take care of your son. Get out of these
Zitto corrupt acts. you know quite well that we
wired you money and we have the evidence. Why
would you waste your effort making noises? do
you know the German government is investigating
this matter? why would you fall for Zitto childish
internet games of writing emails to the Chadema
leaders. So for your information, the document
came from CCM and Tanzania Intelligence
Services
Nakutakia kila la kheri kwenye kuhujumu
Chadema.
 
maombi na viroba vya cdm wapi na wapi?

sisi ccm tunasimama tukiwambali na kumwambia Yesu ee Bwana turuhemu sisi ni wenye dhambi Bwana

Mngekuwa mnamemwogopa Mungu mgrmuua salome mbatia kisa alikuwa ana docs zote za epa, mngewauwa korimba, sokoine,
 
Hapo mwisho umesema upo tayari kuwasaidia ktk timu ya maombi kivipi yani bure au? Na unadhani CDM wakifanya hivyo wa Islam wataichukuliaje?[naamini kabisa wewe ni mlokole] sasa kama ni maono umeoneshwa huwa hayazuiliki ni lazma yatokee kama ilivyopangwa amigo

Tiss wanataka kucheza na akili za watu mbona mi nimemstukia asubuhi tuu!Lengo lake mbona liko wazi sana?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Wanajukwaa,

Kwanza nianze kwa kutanabaisha mi si mwanasiasa, sina chama na sipendi siasa lakini siku kadhaa nilipata mafunuo haya, nikaamua kunyamaza cha ajabu nafsi inaniuma sana na mengi yameanza kutokea wacha niseme ukweli.

1. Kuna hatari kubwa sana inakuja CHADEMA endapo uongozi wa chama hiki hautachukulia umuhimu unabii huu. Katika mafunuo haya nimethibitishiwa kwamba Mungu anampango wa kuliokoa taifa la Tanzania kupitia chama hiki, na amesema ni lazima ataonyesha uwezo wake viongozi wa CHADEMA muondoe wasiwasi.
2. Hatari kubwa inayoweza kuwapata mtakuwa na mapigo makali sana kwa sababu ya kwenda kinyume na taratibu au njia Mungu aliyowapangia. Hamfuati lile wingu lilikuwa linaongoza wana wa Israel, mnataka kufanya kama Yona ole wenu kwani hata vifo vitawapata. Kwanini mnaogopa wakati Mungu yu nanyi? Hatari kubwa sana.

Hatua za kuchukua.
1. Zipuuzieni tuhuma zote zinazotolewa na CCM mwangalieni nyoka wa shaba, achaneni na hawa nyoka wadogo wadogo.
2. Mnatakiwa kufanya maamuzi magumu bila kupenda, njia ya wazi imewekwa machoni kwenu. Kuna kiongozi mmoja mkubwa ndani yenu si wa KWENU ni Yuda ndani ya wanafunzi wa Yesu msiogope huyu hatafanya kitu juu yenu ila mnatakiwa mumuondoe mapema
iwezekanavyo, hana madhara kwa wanachama kama mnavyodhani. Huyu anajulikana na anajadiliwa sana saivi kwa usaliti.
3. 2015 mtashinda ila kutakuwa na vita vikali sana msipofuata haya hamtaingia IKULU na kutatokea vita Tanzania. CCM wataiba sana kura, na watajitangaza washindi.
Katika hili fanyeni hivi,
Mungu anasema hamtashinda kwa kupambana nao vita au kusimamia kura, ila mnatakiwa kuwa na kikundi cha sifa na maombi, na kianze kazi sasa. Nyinyi mtamwimbia Mungu na atawapigania nyinyi mtakuwa mnamwimbia nayeye anawapigania kama taifa la mfalme
Yehoshafati.

Niko tayari kuwasaidia katika hili la timu ya maombi.

Zaidi tuwasiliane.

Toa mahubiri yako kenge wewe, unadhani tuko kwenye nyumba ya ibada hapa.
 
Mdini mkubwa unaleta maneno ya Mungu kwa kupalilia unafiki? Wee ni mtu hatari sana kwa kivuli cha biblia! Usitumie maneno ya Mungu kwa kueneza unafiki!

Mimi siamini kwa hayo unayoyaamini na wee hupaswi kuamini kwa Yale ninayoyaamini! Wee una dini yako na Mimi Nina dini yangu!
 
Chonde chonde tusitumie maneno ya biblia kwa kueneza unafiki na kwa faida ya kundi Moja! Biblia ni maneno ya Mungu na Mungu Hana kundi Kama we mjinga ulivyojitaanabaisha!

Shame on you, shame on your parents! Shame on everything your doing! Umenikera sana!
 
Hiki ndio kibwagizo cha makamanda "TUMEANZA NA MUNGU NA TUTAMALIZA NA MUNGU "halafu mwisho utawasikia wakiimbishana peole's power. Mimi naichukulia kauli hii kama dhihaka kwa Mwenyezi Mungu alietasika na utukufu.

Kumbe mmeanza na MUNGU katika kufanya haya maovu yenu yafuatayo?

  • Mmeanza na Mungu kula ruzuku ya chama mnayopokea kutoka serikalini katika kujenga mahekalu kwa kisingizio @ katibu mkuu hawezi kuendelea kuishi katika nyumba ya kupanga ni hatari kwa usalama wake. Hivi kujimilikisha kienyeji pesa ambayo inatokana na kodi ya walalahoi ambao hata mlo mmoja wa siku kwao imekuwa ni kitendawili MUNGU anapenda?
  • Mmeanza na Mungu kuratibu mipango miovu ya kuwadhuru watanzania ili kijitengenezea mazingira ya kuonewa huruma na wananchi na mwisho kufanikiwa kwa lengo lenu la kuingia ikulu? Hivi kweli MUNGU anapenda vitendo hivyo? Kumbukeni mlichofanya pale Arusha kulipua mabomu katika mkutano wenu na kufuatiwa na mkusanyiko batili ambao ulipelekea kupotea maisha ya watu akiwamo kijana mdogo Mussa Mtoi aliekuwa anatoka kwenye mambo yake. Kumbukeni igunga, Mauaji ya daudi Mwangosi, kifo cha marehemu chacha Wange ambacho inasemekana kimeratibiwa na Mbowe, kumbukeni habari za sumu, kulegeza tairi za gari la zitto ili kumuua, n.k.
  • Mmeanza na Mungu kuwasingizia binadamu wenzenu kuwa ni mafisadi kisa tu wanataka kugombania nafasi mbalimbali za juu katika chama chenu?.
  • Mmeanza na Mungu sikuhizi kudai posho ziongezwe kwa wabunge huku mkijinadi kama watetezi wa wanyonge?.
  • Mmeanza na Mungu kwenda kujenga majumba ya kifahari ughaibuni huku mkiwashakiza walalahoi waaandamane ili kikinuka nyinyi mkimbilie nje ya nchi mkale zenu kuku kwa mirija mkiwaacha walalahoi wakiteseka?

  • Mmeanza na Mungu kueneza chuki miongoni mwenu ya kuwachukia na kuwabagua wanachama wenzenu kwa madai ya kinafiki yasio na ushahidi wa kueleweka?.
​ To mention a few.

Nakuombeni mumheshimu MUNGU na msililitaje bure jina la Mungu hata maandiko yatuonya ya kwamba "usilitaje bure jina Mungu wako".
Akhsanteni kwa kunisoma.

Wameanza na Mungu kwa kuwapiga wenzao matofali.
 
MODS: Wakuu, kama mlivyoona kwenye press
release ya zitto, huyu bwana mutahaba
(inteligence officer) katajwa nasikia kuna
malumbano kati yake na Zitto, na zitto
amejaribu kump-reempt. Confirm with Zitto hii
kitu. It is 100% genuine....Naomba Msitoe.
Nimeiweka jinsi nilivyoipokea....Zitto anaweza
kuthibitsha
By :
From: t. Mutahaba To johnmnyika@
gmail.comcordesand@ gmai...abwe@gmail.com
and 2 More...
Today at 12:56 AM
Ndg. Zitto
Nasikitishwa sana na hizi tabia zako za ajabu
ajabu. Mimi nafanya kazi katika moja ya taasisi za
ki usalama na nimeshirkia mara kadhaa kukupa
fedha. Nyendo zako hata na sisi tunazijua na
nimeshangazwa na utoto wako wa kuandika
waraka ambao umetoa vitisho ambayo inadaiwa
kutoka kwa Andrea Codes. Ndugu napenda
kukuonya kwamba umefanya mengi ambayo hata
wana Chadema hawajui.
· Swala la Bomu Arusha ulishiriki na lengo ilikuwa
ni kumuua mwenyekiti wa Chadema pamoja na
Ndg. Lema. Hii kitu ulipanga, wewe, mwigulu na
vyombo vya usalama
·Zitto, rais Kikwete alipoenda Sudan ya Kusini
uliambatana naye. Unakumbuka sababu ya wewe
kuitwa? Nikukumbushie kwamba ilikuwa zawadi
kwako ya kuihujumu chadema. CCM
hawakupendi, bali wanapenda hujuma zako ndio
maana walikudanganya kwamba watakusaidia
kupata uenyekiti CDM ikiwepo kumuua Mbowe na
kumdhoofisha Dr. Slaa
· Ndg. Zitto unadanganya umma kwamba
unafuatilia fedha Uswisi wakati hii ni njama
ambayo imesukwa na TISS kisha ukakabidhiwa ili
CHADEMA isiibane sana serikali.
· Tueleze ni majina gani uliyoyapata. Na kama
umeyapata, tunaomba kujua jina lako ni namba
ngapi, kwa sababu na wewe una fedha nje ya nchi
na ushahuidi tunao
· Umekuwa ukijenga mtandao wa kuwania
uenyekiti na fedha ulizopewa na TISS pamoja na
CCM ili kumn'goa Bw. Mbowe kwenye uenyekiti
wa CHADEMA ili 2015 CCM ishinde.
· Zitto, una ghorofa Dodoma karibu na St. Gasper
Hotel. Fedha za kujenga lile jengo zimetoka wapi?
· Zitto, Barrick gold walikujenga shule pale
jimboni kwako. Baada ya lile shule kujengwa na
pia kupewa kitita cha fedha ulinyamaza kabisa
· Ndg. Zitto, wakuu wengi wa mashirika ya umma
wameleta malalamiko TISS kuhusu unavyochukua
fedha kwao. Hilo unalijua kama ni ufisadi?
Ndg. Zitto, wewe ni kijana mdogo. Hizi tamaa zako
za kifisadi zitaipeleka nchi pabaya. Tunakuangalia
na kelele zako hasa fedha za uswisi. Usichezee na
akili za watanzania. Wewe ni fisadi namba moja.
Umeficha fedha nje, ama nikukumbushe kwamba,
majuzi ulipokuwa nje ya nchi ulitoa fedha kwenye
benki Fulani. Ile account umefunguliwa na nani?
Badilika kijana. Kisiasa umeshajimaliza. Pengine
nikukumbushie kwamba mawasiliano yako na
Jack Nzoka, Mwigulu, Ridhiwani za kisaliti ndio
chanzo cha kuanguka kwako. Ila hacha
kuwadanganya watanzania na kiini macho cha
Uswisi. Umeshajua mengi sana , usishangae
kijana ukija kutoweka ghafla. TISS hawachezi na
mtu. Na ni wao au CCM ndio watakao kumaliza
sio CHADEMA. Ule waraka unaosambaa ni mali ya
TISS na imeratibiwa na CCM ambao ndio ndugu
zako wakubwa
Andrea, take care of your son. Get out of these
Zitto corrupt acts. you know quite well that we
wired you money and we have the evidence. Why
would you waste your effort making noises? do
you know the German government is investigating
this matter? why would you fall for Zitto childish
internet games of writing emails to the Chadema
leaders. So for your information, the document
came from CCM and Tanzania Intelligence
Services
Nakutakia kila la kheri kwenye kuhujumu
Chadema.

Msiba wa Chadema kama nauona, mwaka huu haya matamko yatawaua tu.

Chama cha Matamko na Matukio.

Hii kansa inawatafuna.
 
Wanajukwaa,

Kwanza nianze kwa kutanabaisha mi si mwanasiasa, sina chama na sipendi siasa lakini siku kadhaa nilipata mafunuo haya, nikaamua kunyamaza cha ajabu nafsi inaniuma sana na mengi yameanza kutokea wacha niseme ukweli.

1. Kuna hatari kubwa sana inakuja CHADEMA endapo uongozi wa chama hiki hautachukulia umuhimu unabii huu. Katika mafunuo haya nimethibitishiwa kwamba Mungu anampango wa kuliokoa taifa la Tanzania kupitia chama hiki, na amesema ni lazima ataonyesha uwezo wake viongozi wa CHADEMA muondoe wasiwasi.
2. Hatari kubwa inayoweza kuwapata mtakuwa na mapigo makali sana kwa sababu ya kwenda kinyume na taratibu au njia Mungu aliyowapangia. Hamfuati lile wingu lilikuwa linaongoza wana wa Israel, mnataka kufanya kama Yona ole wenu kwani hata vifo vitawapata. Kwanini mnaogopa wakati Mungu yu nanyi? Hatari kubwa sana.

Hatua za kuchukua.
1. Zipuuzieni tuhuma zote zinazotolewa na CCM mwangalieni nyoka wa shaba, achaneni na hawa nyoka wadogo wadogo.
2. Mnatakiwa kufanya maamuzi magumu bila kupenda, njia ya wazi imewekwa machoni kwenu. Kuna kiongozi mmoja mkubwa ndani yenu si wa KWENU ni Yuda ndani ya wanafunzi wa Yesu msiogope huyu hatafanya kitu juu yenu ila mnatakiwa mumuondoe mapema
iwezekanavyo, hana madhara kwa wanachama kama mnavyodhani. Huyu anajulikana na anajadiliwa sana saivi kwa usaliti.
3. 2015 mtashinda ila kutakuwa na vita vikali sana msipofuata haya hamtaingia IKULU na kutatokea vita Tanzania. CCM wataiba sana kura, na watajitangaza washindi.
Katika hili fanyeni hivi,
Mungu anasema hamtashinda kwa kupambana nao vita au kusimamia kura, ila mnatakiwa kuwa na kikundi cha sifa na maombi, na kianze kazi sasa. Nyinyi mtamwimbia Mungu na atawapigania nyinyi mtakuwa mnamwimbia nayeye anawapigania kama taifa la mfalme
Yehoshafati.

Niko tayari kuwasaidia katika hili la timu ya maombi.

Zaidi tuwasiliane.

Mmmh nahisi harufu ya Mbowe+Dr hapa.... Umetumwa weweeee....
 
Nabii naye anaogopa kung'olewa kucha na meno..................

Ujumbe umefika
 
Msiba wa Chadema kama nauona, mwaka huu haya matamko yatawaua tu.

Chama cha Matamko na Matukio.

Hii kansa inawatafuna.

CHADEMA haitakufa, bali hujuma dhidi ya chadema itashindwa, na wanaoihujumu watabaki na Mungu wao.
 
maono haya, kwa kuwa yanamhusisha Mungu, ni jambo zito sana kulibwaga hapa jamvini. hebu thibitisha pasi na shaka kuwa hay ni maono toka kwa Mungu na sio shibe ya dona.umemthibitisha Mungu mara ngapi?
 
Back
Top Bottom