124 Ali
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 7,813
- 5,522
Kinga'sti nisaidie kushangaa hapo ,maana huyu nabii sijui katokea wapi jamani!Unajua mafunuo wewe? Stress za ndoa zinakuchanganya.
Kinga'sti nisaidie kushangaa hapo ,maana huyu nabii sijui katokea wapi jamani!Unajua mafunuo wewe? Stress za ndoa zinakuchanganya.
Mlianza na shetani mtamaliza na shetani kumbe siku hizi hata wazinzi wanamtaja mungu kwenye maovu yao pole bwana vumilia mlianza na shetani mtamaliza na shetani.
Tumeanza na Mungu na tutamaliza na Mungu, people'sssss powerrrr!? Haya tuchangeni sasa pesa za kukiendesha chama. Lema chukua kapu na uzunguke kuchukua michango ya makamanda. People'sssss powerrrr!? Mwisho wa siku pesa zinazochangwa na wafuasi walalahoi zinatumika katika utalii wa slaa na demu wake, zinajengewa mahekalu ya viongozi wa chadema bongo na ughaibuni n.k na mwisho ni people's power.
Viongozi wa CHADEMA muwe mnawapa na chakula hawa vijana sio mnawapa viroba tu!
Wewe ni Nabii au Mtume? au ni Nabii na Mtume kama Mwingira?
Wewe ni Nabii au Mtume? au ni Nabii na Mtume kama Mwingira?
bora kuchangisha, kuliko kuhongwa suti na kuuza tembo na twiga.chama chetu cha majambazi chauza nchi.knana ha,lwasa ha,mwgulu ha.chauza nchi.imbaTumeanza na Mungu na tutamaliza na Mungu, people'sssss powerrrr!? Haya tuchangeni sasa pesa za kukiendesha chama. Lema chukua kapu na uzunguke kuchukua michango ya makamanda. People'sssss powerrrr!? Mwisho wa siku pesa zinazochangwa na wafuasi walalahoi zinatumika katika utalii wa slaa na demu wake, zinajengewa mahekalu ya viongozi wa chadema bongo na ughaibuni n.k na mwisho ni people's power.
Division 5 @ work
Ha ha haa, uwiii... Ndoa ni noumaaUnajua mafunuo wewe? Stress za ndoa zinakuchanganya.
Hiki ndio kibwagizo cha makamanda "TUMEANZA NA MUNGU NA TUTAMALIZA NA MUNGU "halafu mwisho utawasikia wakiimbishana peole's power. Mimi naichukulia kauli hii kama dhihaka kwa Mwenyezi Mungu alietasika na utukufu.
Kumbe mmeanza na MUNGU katika kufanya haya maovu yenu yafuatayo?
- Mmeanza na Mungu kula ruzuku ya chama mnayopokea kutoka serikalini katika kujenga mahekalu kwa kisingizio @ katibu mkuu hawezi kuendelea kuishi katika nyumba ya kupanga ni hatari kwa usalama wake. Hivi kujimilikisha kienyeji pesa ambayo inatokana na kodi ya walalahoi ambao hata mlo mmoja wa siku kwao imekuwa ni kitendawili MUNGU anapenda?
- Mmeanza na Mungu kuratibu mipango miovu ya kuwadhuru watanzania ili kijitengenezea mazingira ya kuonewa huruma na wananchi na mwisho kufanikiwa kwa lengo lenu la kuingia ikulu? Hivi kweli MUNGU anapenda vitendo hivyo? Kumbukeni mlichofanya pale Arusha kulipua mabomu katika mkutano wenu na kufuatiwa na mkusanyiko batili ambao ulipelekea kupotea maisha ya watu akiwamo kijana mdogo Mussa Mtoi aliekuwa anatoka kwenye mambo yake. Kumbukeni igunga, Mauaji ya daudi Mwangosi, kifo cha marehemu chacha Wange ambacho inasemekana kimeratibiwa na Mbowe, kumbukeni habari za sumu, kulegeza tairi za gari la zitto ili kumuua, n.k.
- Mmeanza na Mungu kuwasingizia binadamu wenzenu kuwa ni mafisadi kisa tu wanataka kugombania nafasi mbalimbali za juu katika chama chenu?.
- Mmeanza na Mungu sikuhizi kudai posho ziongezwe kwa wabunge huku mkijinadi kama watetezi wa wanyonge?.
- Mmeanza na Mungu kwenda kujenga majumba ya kifahari ughaibuni huku mkiwashakiza walalahoi waaandamane ili kikinuka nyinyi mkimbilie nje ya nchi mkale zenu kuku kwa mirija mkiwaacha walalahoi wakiteseka?
​ To mention a few.
- Mmeanza na Mungu kueneza chuki miongoni mwenu ya kuwachukia na kuwabagua wanachama wenzenu kwa madai ya kinafiki yasio na ushahidi wa kueleweka?.
Nakuombeni mumheshimu MUNGU na msililitaje bure jina la Mungu hata maandiko yatuonya ya kwamba "usilitaje bure jina Mungu wako".
Akhsanteni kwa kunisoma.
Duuuu hi I hatarii