Ufundi mwingi - low probability ya kumimbika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ufundi mwingi - low probability ya kumimbika

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bramo, Apr 15, 2012.

 1. Bramo

  Bramo JF Bronze Member

  #1
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 9,457
  Likes Received: 2,504
  Trophy Points: 280
  Wakuu,
  Kuna jamaa yangu Mmmoja ni Medical Dr,
  katika mazungumzo ya hapa na pale akanipa hii kali.
  Kwa wale wanaopenda sana kutumia style za ajabu ajabu katika kula tundi wana less probability ya wenzi wao wa kike kutoshika Mimba.
  Sababu:
  Jamaa alienda mbali sanaaa kuwa acuse wale wenzangu tunaopenda kuunganisha la kwanza, bila kupumzika kutafuta la pili juu kwa juu au "mumo kwa mumo", alienda mbali sana kusema kuwa ukiwa "unazama unatoka" una disturbu flow ya Sperms kwenda ndani kuchavusha yai na kujikuta nyingi zinatoka na kukaukia kwenye machine (ukitoa machine inakuwa ina layer flan white), pia alinitoa hofu kwa kusema kuwa kama mie ni mmoja wao basi nihakikishe kuwa napiga na la pili likiwa lina nguvu na afya kama ya lile lwa kwanza kitu amabcho acording to yeye ki utabibu ni kama hakipo vile.
  Ushauiri wake:
  Abstain, mpaka kipindi kilee cha siku za hatar (Kama mnataka kumimbika), muandae fresh mwenzako mapaka awe mbendembende, then ukipiga bao la kwanza na ukimake sure that zote zimeisha kutoka, withdraw na mwambie mwenzako alale chali for atleast 20 minutes.

  My take:
  Jamaa amaefanikiwa kuni shawishi, ila pia nahitaj input zenu wana jamvi kuwekana sawa katika hili.

  Wasalaam
   
 2. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #2
  Apr 15, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Katika vitu vya ajabu katika maisha ni mimba. Ukitaka ujue mimba ni rahisi kiasi gani kupatikana, tembea na mke wa tu, housegirl au demu ambaye huna mpango naye. Nakuhakikishia hata kama ingekuwa ya wimawima, mimba inashika hapo hapo. Lakini sasa kaa na wife wako nyumbani muanze kujipangia tunataka tuzae mwezi huu au ule. Hakika utaisikia bombani, na badala yake itapatikana siku ambayo hujapanga. Hizi story za fanya hivi au vile sidhani kama zinaapply sana. Maana kuna wengi washapewa ushauri wa aina hii na hawafanikiwa kusolve kitu.
   
 3. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #3
  Apr 15, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,130
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  usicheze na mimba wewe kuna jamaa alikuwa anapenda kupiga puli kunako jacuz ikaja tokea dada ake kapata mimba na haijulikan ilikotoka kumbe ni kaka ake kupiga puli kwake kunako jakuz hasafish vizur zimekuja muingia dada ake na kutunga mimba juu.
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Apr 15, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  ha ha ha ha ha.

  Ndo maana public toilet za kukaa ni noma, matumizi ya vyoo yamepanuka sana siku hizi.

   
 5. Chum Chang

  Chum Chang JF-Expert Member

  #5
  Apr 15, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,001
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Yale yale ya Adamu na Hawa
   
 6. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #6
  Apr 15, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Mimi huwa namfunga kamba miguu yote miwili then namning'iniza kichwa chini miguu juu for at least 30 minutes ili 'mchuzi' uyafikie faster mayai!
   
 7. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #7
  Apr 15, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,254
  Trophy Points: 280
  yategemea lengo nini....burudani au uwe dume la mbegu............pili ushauri huo ni kwa wale we3nye matatizo ya sperm count.......................na aina fulani ya utasa siyo zote..................lakini kama umekamilika hata uje na cha tatu mabao yapo palepale................
   
 8. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #8
  Apr 15, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,254
  Trophy Points: 280
  Ndyoko kea khali hiyo ndiyo maana watoto wa uzao wako wanafanana na hiyo avatar yako............
   
 9. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #9
  Apr 15, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,254
  Trophy Points: 280
  hii nilikwisha kuisikia lakini siiamini sana kwa sababu mbegu kuvumilia sabuni na ubaridi wa maji au joto zaidi ya joto la mwili wa mwanandamu ni vigumu mbegu kuishi..............lakini yawezekana kwa sababu kwa Mungu yote yawezekana.........
   
 10. o

  ommy15 Senior Member

  #10
  Apr 15, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  ongezea na watoto wa shule ndo utajua mimba hailingi kuingia head tu mimba hiyo.
   
Loading...